Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

lakini nguvumali, tangu mwanzoni i think end of november or early dec 2009... mrema alisema kitu kimoja kwanini wana CCM wanalalamika rais ni fisadi, CCM fisadi na bado wapo CCM? why being a political party which has wrong morals?

kwanini watu mnataka JK ndio amwambie Sitta what to do with his morals... hamna mtu aliyemshikia mtutu wa bunduki kusoma ile speach ya kuvunja mjadala wa richmond...

N.B kama sita angekataa what possibilies JK angekuwa nazo zaidi ya kumuunga mkono au kumfukuza chama... which kumfukuza chama sidhani kama ingekuwa option especial as uchanguzi is around the corner

Spika Sita angekataa vipi wakati wabunge walio wengi wamekubaliana mjadala ufungwe?
 
Spika Sita angekataa vipi wakati wabunge walio wengi wamekubaliana mjadala ufungwe?

He had option ya kuresign and make it very clear he is against what the so called baraza la wabunge CCM trying to robe from Tanzanians.. yeye kukubali kusoma/kutangaza mjadala umefungwa na wakati anasema ni mpiganaji ni kutuzungua tuuu... the true mpiganaji anaweka maslai yake second after public interests/welfare ila kwake aliona ni mara kumi kulinda uspika wake, mshahara na posho yake
 
Asante umekubali alikuwa mchapakazi na afadhali unasema angekuwa dictator, dictator wa aina ya Mrema ungekuwa mazuri na kwa mafanikio kwa taifa( haya maoni yangu) nchi zetu hizi ili ziendelee zinahitaji dictator piga ua!, dictactors can be valuable to any country kama tu wanafanya mambo yaende kwa manufaa ya umma! that is how china it is today!

Nyerere na Sokoine walifeli kwenye hilo eneo

Sasa hapa Ben kwa mimi ndio huwa nauliza tatizo ni Mrema au sisi wananchi? Mrema alikuja kwa wananchi tukamkataa , kaenda huko na huko tumemkataa!, hii ni same story kwa wapinzani wote tusipowakubali watarudi nyuma! kurudi nyuma huko ni aidha akae kimya, au arudi CCM, ebu jiulize leo hii let say Slaa akasema hana hela ya kula kabisa, are we ready kuchanga fedha yeye na familia yake aishi?? it was the same kwa Lwamwai kasaga lami wakati kaporwa vyeti vyake na CCM, alikuwa hane mbele wala nyuma, just imagine froe being lecturer UDSM mpaka kuishia kuomba hela ya nauli! mtu ana familia yake!!!

watu wa aina ye Mrema watajitokeza sana, pale wanapoona future yao haiko clear, na wananchi hawana mpango nao, then nife kwa sababu mpinzani?

Tukubali tu vyama vya siasa vina udhaifu mwingi sana, lakini na sisi wananchi tunachangia mno kurudisha wapinzani nyuma!

Mrema atabaki kama mpinzani pekee bara ambaye rekodi yake haijaweza kuvunjwa kwa miaka 16! na inavyoonekana inaweza isifikiwe tena kama opposition wasipojipanga. Mrema is still above all kwa alichofanya, tena kumbuka alivuta watu kipindi Nyerere yuko hai!

Mrema anabaki mwana CCM pekee asiye mnafiki kujifanya unapigania ufisadi ukiwa ndani ya CCM! aliondoka bila kuangalia nyuma, na alitikisa nchi.

Mrema anabakia mtu pekee ambaye hata rekodi yake ya utendaji ndani ya wizara aliyoongoza hakuna aliyeweza kuvaa viatu vyake!

Na anabakia kuwa mtu pekee ambaye anakuwa muwazi wa kile anachokiamini hata kama hatukipendi, vinamfanya kuwa yeye! LOL!

Leo hii Mrema is still politician lakini anafaa zaidi kuwa CCM na kupiga kampeni akiwa CCM, na si vinginevyo, mafanikio na rekodi zake haziusaidii upinzani kwa sasa isipokuwa an haribu, tena vibaya mno

Unaweza ukazichanganya hizo sentensi tatu tofauti kwenye red still zikaleta maana uliyokusudia?
 
Well said Bigirita.. Mrema si mtu mnafiki.. he always stand by his words and what he believes.. kuwa mpinzani si kwamba inabidi ubishe for every little thing.. kama leo hii mtu yoyote ata JK akisema kitu ambacho akiungi mkono mrema hatamponda bila kuona haya.. na hili ndilo i will always remember him for...

F-T nimekusoma muda mrefu unamtetea Mrema hadi ukasema anafaa kuwa rais unaweza kutukumbusha eti zile dhahabu alizozikamata pale airport kwa mikono yake zilienda wapi aliwafikisha makamani wahusika? Mrema si mnafiki nasuburi
 
Unaweza ukazichanganya hizo sentensi tatu tofauti kwenye red still zikaleta maana uliyokusudia?

Kaka ulizo highlight siyo sentensi! we call it dependant au fragment sentense which can be completed only when complete thought is taken! can you kindly highlight the whole complete thought my dear? I will appreciate.
 
Hujajibu swali mimi si ngwini wakuelewa dependant na fragment sentenses usilizunguke swali kwa kuuliza swali basi zi highlight ujibu swali langu
 
Teh teh teh,yaani Mrema ni kiboko kwa kugonganisha watu.So anataka ionekane kwamba Sitta nae kamtukana Pinda indirect? yaani opportunity yoyote ya kujenga hoja kisiasa hawezi iacha.Lakini si kuna kipindi alitangaza kuwa ana milioni 300?sasa zimeshuka ghafla au yalikua mazungumzo ya kisiasa?lol

kwani si kuna kutumia jamani? 300 mwaka jana bado itabaki 300 mwaka huu?
 
F-T nimekusoma muda mrefu unamtetea Mrema hadi ukasema anafaa kuwa rais unaweza kutukumbusha eti zile dhahabu alizozikamata pale airport kwa mikono yake zilienda wapi aliwafikisha makamani wahusika? Mrema si mnafiki nasuburi

Could you please show me where i said Mrema anafaa kuwa rais please?

Kuhusu Dhahabu, Do you know why Mrema aliresign cheo chake? if not i would suggest you do your homework mate. Thanks

N.B i am waiting for your reply especial on where i state Mrema anafaa kuwa rais. thanks
 
he he heee,mtu wa pili kuplekwa mirembe huyooo,pinda mpe maneno yake,sasa ndio huyu angekuwa rais wetu huyu???
A reply
haaa.. why not...

Usiwe msahaulifu sana
 
A reply

Usiwe msahaulifu sana

well.. as you see there i said haaa why not? i believe that is a question!!!.. is why not now days means Mrema anafaa kuwa rais au awe rais? au mrema hafahi kuwa rais?

Please naomba unieleweshe........
 
Mimi huwa sipendi mabishano yasiyo na msingi sidhani kama kweli huelewi ulimaanisha nini uliposema why not
 
Mrema alipendwa sana wakati alipokuwa amezificha rangi zake. Ila sasa amezionyesha rangi zake haswa na umati umamstajabia. Wale aliokuwa akijifanya kuwapinga ndio wana sababu ya kumfurahia japokuwa hawamwamini. Watamtuma kuwavuruga watu na hata hivyo wanaona haya kujifunua kwamba wako nai maana kazi waliyomtuma utekelezaji wake ni wa aibu kwa mtu aliyepo ndani ya ufahamu wake. Wale aliyowahadaa nao wana sababu za kumchukia maana amewasababishia maumivu makali. Hasa jimbo la vunjo alilisababishia kupauka kiuchumi kwani serikali ya ccm ilitelekeza shughuli zote za uzalishaji na hata kuua zao la kahawa kabisa. Kisa mpinzani feki. Wazee wa jimbo la vonjo kama sii kutegemea kulishwa na watoto wao walio nje ya mkoa watakufa njaa. Hatuna sababu ya kuangalia historia ya nyuma ya mrema zaidi ya kumpima na kile alicho sasa hivi. Hata biblia inasema katika kitabu cha Ebrania 13:7 'Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu', tena kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao'. sasa huu mwisho wa mwenendo wa Mrema hauna jambo jema la kuiga. Mwanzo alionekana kama mtetea wanyonge, hapa mwisho anawashambuli wale wote wanaonekana watetezi wa wanyonge tena kwa kumwaga midhaha kama mbwa alambae damu.
 
A reply

Usiwe msahaulifu sana

Mimi huwa sipendi mabishano yasiyo na msingi sidhani kama kweli huelewi ulimaanisha nini uliposema why not

well.. nilimaanisha as it states there why not? and this was a question for the person who asked a question.. i asked that question because i wanted to hear his opinion why he couldnt/cant be president..

So mate dont say something eti nilisema Mrema awe rais or hapana based on your personal judgement on my question...

I am off now.. endelea kubisha based on speculations..
 
Mrema alipendwa sana wakati alipokuwa amezificha rangi zake. Ila sasa amezionyesha rangi zake haswa na umati umamstajabia. Wale aliokuwa akijifanya kuwapinga ndio wana sababu ya kumfurahia japokuwa hawamwamini. Watamtuma kuwavuruga watu na hata hivyo wanaona haya kujifunua kwamba wako nai maana kazi waliyomtuma utekelezaji wake ni wa aibu kwa mtu aliyepo ndani ya ufahamu wake. Wale aliyowahadaa nao wana sababu za kumchukia maana amewasababishia maumivu makali. Hasa jimbo la vunjo alilisababishia kupauka kiuchumi kwani serikali ya ccm ilitelekeza shughuli zote za uzalishaji na hata kuua zao la kahawa kabisa. Kisa mpinzani feki. Wazee wa jimbo la vonjo kama sii kutegemea kulishwa na watoto wao walio nje ya mkoa watakufa njaa. Hatuna sababu ya kuangalia historia ya nyuma ya mrema zaidi ya kumpima na kile alicho sasa hivi. Hata biblia inasema katika kitabu cha Ebrania 13:7 'Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu', tena kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao'. sasa huu mwisho wa mwenendo wa Mrema hauna jambo jema la kuiga. Mwanzo alionekana kama mtetea wanyonge, hapa mwisho anawashambuli wale wote wanaonekana watetezi wa wanyonge tena kwa kumwaga midhaha kama mbwa alambae damu.
Nitaendelea kuwaletea a true coulor ya tuliyedhani ni mtetezi

NAIROBI, 27 April 1999(IRIN) Members of Tanzania's main opposition National Convention for Construction and Reform (NCCR) party have hailed the resignation and defection to another party of their leader Augustine Mrema, whom they accuse of "dictatorship".
The Tanzanian 'Guardian' daily on Monday said Mrema had resigned, citing infiltration of the party by "state agents". "I have discovered that NCCR is not a party to bring about true political reforms in the country as it is infested with government spies and a 'state-sponsored organisation'," Mrema was quoted as saying.
Mrema, a former home affairs minister and deputy prime minister, announced his defection to the little-known Tanzania Labour Party (TLP) at a news conference on Sunday after an abortive NCCR rally in Dar es Salaam. At least 11 people were injured and 165 arrested during a police operation to stop the "unauthorised meeting" going ahead.
Senior officials of the NCCR told IRIN on Tuesday Mrema's defection had come as a "great relief". They described him as a "stumbling block" to the party's progress and a "dictator" who did not follow the party's constitution. "Finally the crisis is over. People will now hear what the opposition have to say," NCCR's legal adviser Sengondo Mvungi said.
Mrema's "obsession" with going to State House had over-simplified NCCR's goal to come up with an egalitarian system, and this had led to a protracted power struggle between Mrema and NCCR's Secretary-General Mabere Marando, Mvungi said. "His defection helps us prepare better for next year's general election," he added.
 
Spika kusema alinusurika kunyanganywa kadi ya ccm ndani yakikao cha chama, that was fact. Mrema kumtuhumu spika kwa kusema kweli(fact) kwamba anahatarisha amani ya nchi huu ni ubakaji wa uhalisia na uporaji wa haki ya kujieleza. Nina mashaka na kile baazi yetu wanakiita fact.
 
Mrema alipendwa sana wakati alipokuwa amezificha rangi zake. Ila sasa amezionyesha rangi zake haswa na umati umamstajabia. Wale aliokuwa akijifanya kuwapinga ndio wana sababu ya kumfurahia japokuwa hawamwamini. Watamtuma kuwavuruga watu na hata hivyo wanaona haya kujifunua kwamba wako nai maana kazi waliyomtuma utekelezaji wake ni wa aibu kwa mtu aliyepo ndani ya ufahamu wake. Wale aliyowahadaa nao wana sababu za kumchukia maana amewasababishia maumivu makali. Hasa jimbo la vunjo alilisababishia kupauka kiuchumi kwani serikali ya ccm ilitelekeza shughuli zote za uzalishaji na hata kuua zao la kahawa kabisa. Kisa mpinzani feki. Wazee wa jimbo la vonjo kama sii kutegemea kulishwa na watoto wao walio nje ya mkoa watakufa njaa. Hatuna sababu ya kuangalia historia ya nyuma ya mrema zaidi ya kumpima na kile alicho sasa hivi. Hata biblia inasema katika kitabu cha Ebrania 13:7 'Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu', tena kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao'. sasa huu mwisho wa mwenendo wa Mrema hauna jambo jema la kuiga. Mwanzo alionekana kama mtetea wanyonge, hapa mwisho anawashambuli wale wote wanaonekana watetezi wa wanyonge tena kwa kumwaga midhaha kama mbwa alambae damu.

Well said Kiby boy

Umenikumbusha mida ile tuko sekondari tumewehuka na Mrema, usiku na mchana tunapiga story za Mrema. Maisha yako hivyo wakati mwingine, ila kwa wasaliti kama yeye adhabu yao ni kubwa sana, hayo mambo ya Vunjo yanahuzunisha sana.
 
Siasa hapa Tanzania ni kama biashara ya pale uwanja wa fisi.
 
Back
Top Bottom