Malyawere wa morogoro amefariki kwa ajali yeye na mkewe.

Malyawere wa morogoro amefariki kwa ajali yeye na mkewe.

Ajali ya gari au pikipiki?alikua anaendesha au kuendeshwa?
Upo Moro nasi tupo mikoa mingine
 
Ni ajali ya uso kwa uso ama, mbona pale tanesco mazingira ni magumu kutokea ajali kubwa kiasi hicho
 
Apumzike Kwa Amani Comrade
Hapa Kingolwira Bendera Zinapepea Nusu Mlingoti Mpaka Atakapopumzishwa
 
Back
Top Bottom