Somjo ni nini?Sema alikuwa somjo sana
Waliokufa ni dereva mzee malyawere na mkewe na dada wa mzee malyawere. Walikuwa wanatoka ukumbini kwenye sherehe.Wamekufa watatu na mtoto wake.
Mmh! Pale Tanesco ni Hatari tena Hatari Sana!! Pale ajali zake tena ni za ajabu ajabu! Kama hiyoNi ajali ya uso kwa uso ama, mbona pale tanesco mazingira ni magumu kutokea ajali kubwa kiasi hicho
🤭Ni maarufu sana tanzania hasa pale moro.