Mama abdul acharukia wezi misibani

Mama abdul acharukia wezi misibani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu ya Kigodoro , Mama Abdul ' Kantangaze ' hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kuwacharukia wezi wa nyama misibani, hasa akina mama. Mama Abdul alitoa kauli hiyo baada ya kuwaona akina mama wakidokoa nyama kwenye sahani za vyakula zilipokuwa zikipitishwa wakati wa msiba wa Mc Chimamy, eneo la Sinza jijini Dar es Salaam . "Mnanisikitisha sana akina mama, hizi nyama mnazoiba leo , ipo siku nanyi mtaibiwa kwenye misiba yenu , kuweni na utu , nyama kitu gani watu tunalia nyie mnaiba nyama " aliwananga Mama Abdul .
 
Eeh!! Hii nayo kiboko, binamu Dinazarde ebu puta uku umsikie shangazi yako uku
 
Last edited by a moderator:
Eti nyama mnazoiba leo ipo siku na nyie mtaibiwa kwenye misiba yenu, yani huyu mama abdul mswazi live, hadi chakula ana mind hivyo khaa!!

Hivi ndo kujionyesha kwamba kwako hulagi nyama au? Watu bado wanalia kwa majonzi, wewe unapiga misele ya kuiba nyama khaaa, mbona watu wazima kujitoa ufahamu!!. Una hamu sana ya nyama, kanunue kwako upike ule weee hadi uchoke. Usipunguze budget za misiba ya watu
 
Back
Top Bottom