Mama achinja wanea wawili na kisha kujiua.

Mama achinja wanea wawili na kisha kujiua.

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,009
Reaction score
2,315
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu amewachinja watoto wake wawili kwa kisu kisha yeye mwenyewe kujiua.

Zaidi tazama video. 👇
 


Matukio Haya Yameshika Kasi Sana Mpaka Hatari Sana. IiGiiPii Yupo Wapi Sasa Hivi

 
Kanda ya Ziwa kuna pepo hatari sana!
Hiyo kanda wapelekewe injili upya japo kuna dini na madhehebu karibu yote yaliyoko nchini ila imajaa upagani na ushirikina, kila mara matukio ya mauji hayaachwi kuripotiwa. Makanisa na misikiti kazi yao ni nini kama si kupambana na ushetani huko? Wayakemee hayo mapepo yanayoitesa kanda hiyo yatoke
 
Back
Top Bottom