Ndio maana nikashtuka nikasema duh utakuwa ulichoropoka saa ngapi anyway nimeshusha pumzi baada ya kusikia uko hai
Ikikukuta basi inakuwa wakati muafaka wa kustaafu kazi za nje....
Kuna jamaa yangu amenipa story kuwa walikuwa na kazi ya kiofisi wanaifanyia hotel moja kubwa sana Sinza/Ubungo karibu na mataa na walikuwa wanalala hapo (wanatokea mikoani). Jamaa anadai usiku kama saa 2 hivi wakati wamemaliza kazi wanarudi vyumbani wakakuta vilio vya wahudumu kwenye korido kuangalia kulikoni wakakuta kuna chumba jamaa mmoja (mme wa mtu kwani alikuwa na pete mkononi) yuko na demu amekufa chumbani na kilikuwa ni kiburudisho
WALIKUWA Closer...closer!.MPAKA IMESABABISHA MAUTI
jamaa alipigishwa kwata na mama hadi mauti ikamkuta?!ha ha ha ha!
atakuwa alipigwa ile staili ya akanungurusi
mkuu unafoji siginecha yangu...and that's criminal offence...!
ngoja niiangalie uenda ni story hii hiiKuna thread imeanzishwa huko tayari mkuu. "Mama afia guest na hawala"
Kuna jamaa yangu amenipa story kuwa walikuwa na kazi ya kiofisi wanaifanyia hotel moja kubwa sana Sinza/Ubungo karibu na mataa na walikuwa wanalala hapo (wanatokea mikoani). Jamaa anadai usiku kama saa 2 hivi wakati wamemaliza kazi wanarudi vyumbani wakakuta vilio vya wahudumu kwenye korido kuangalia kulikoni wakakuta kuna chumba jamaa mmoja (mme wa mtu kwani alikuwa na pete mkononi) yuko na demu amekufa chumbani na kilikuwa ni kiburudisho
kaka umeondoka Bongo muda mrefu nn? nyumba ndogo kibongo tunaita kiburudisho. Ongeza msamiati huo utapitwa na kiswahiliKifo kimekuwa kiburudisho bongo? Basi iko kazi.
Amandla....
nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia rombo green view maeneo ya shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.
jamaa alipigishwa kwata na mama hadi mauti ikamkuta?!ha ha ha ha!
Atakuwa alipigwa ile staili ya akanungurusi
Nadhani ni masikitiko zaidi ya aibu....ila dah...