Mama afia lodge na mme wa mtu

Mama afia lodge na mme wa mtu

na liwe funzo kwa wote wasio waaminifu na ndoa zao au wenye mpango wa kuwa na nyumba ndogo!
 
na liwe funzo kwa wote wasio waaminifu na ndoa zao au wenye mpango wa kuwa na nyumba ndogo!

The Following User Says Thank You to Fab For This Useful Post:

GY (Today)​
 
Za Mwizi ni Arobaini
Zimewakuta
Ila Jamaa aliyeliwa mkewe hata pata taabu maana mamsapu kesha tangulia mbele ya hukumu sijui haki:A S-alert1:
Tabu anayo maana kitamuuma sana kwamba mpenzi wake wa moyo amegawa tunda lao pia ni aibu ya mwanaume kwa mkewe kugawa maana inaonyesha jinsi gani asivyo mjali,mpaka anampa mwanya wa kunya mambo yake
 
hahaa umenikumbusha MC Lema kule moshi mwaka jana mwezikama huu alipewa mastyle vibaya sana mapka akakata roho...aaah pumzika kwa amani mama uliyefia rombo lodge
 
huuu upumbavu ndio maana nasema mapolisi wapuuzi sana
wanataka uchunguzi gani zaidi...wakati mama kafia kwenye starehe yake na raha zake
waakamchunguze mumewe alikosa nini mkewe akawa anagawa tunda huku tena kwa mfanywakazi uuuwiiiiiiiiiiii niemshindwa kuendelea jamani

yawezekana mshabiki wa arsenal akaumia maumivu ya moyo..

hahaa Pdidy acha uchokozi bana
 
Huyo hawala alikuwa ni best friend sana na mume wa marehemu, sasa baada ya huyo mwanamke kufariki, hawala kwa kupaniki alipeleke mwili wa marehemu chooni na kuutundika kwa kanga ili aonekane marehemu alijinyonga. Mwanzoni uchunguzi ulionekana kama huyo mwanamke alijinyonga chooni, lakini dhamira ilimshinda hawara na akaamua kujisalimisha mwenyewe polisi na kutoa ushahidi huo. Yaani ni soo kweli.....SHEMEJI NI SOO
 
kaka umeondoka Bongo muda mrefu nn? nyumba ndogo kibongo tunaita kiburudisho. Ongeza msamiati huo utapitwa na kiswahili

Si kuondoka bongo bali tofauti ya rika. Lakini shukrani kwa kunifahamisha lakini bado naona wengi humu wanaufanya mkasa wenyewe kama kiburudisho!

Amandla...
 
na liwe funzo kwa wote wasio waaminifu na ndoa zao au wenye mpango wa kuwa na nyumba ndogo!

Bahati mbaya kuna kusahau...infact haitakumbukwa baada ya wiki 2 tu!
 
What do you learn from this event guys,cause people are just giving comments forgetting that there is something to be learnt here.
 
Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.
Itabidi jamaa aozeshwe maiti na akaizike yeye nyumbani kwake kwa mkewe
 
Huyu mama kama alikuwa na watoto - sijui ameacha fundisho gani kwa wanae????? always MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI - mama yuko mbele za haki - na kijana mzinzi je??? it will haunt him for the rest of his life - siamii atakuja sahau - na kama hajaoa mh! nadhani ataogopa kila mwanamke - anahitaji msaada wa Mungu otherwise anaweza akaji-suicide - thats my thinking!!!! but its a very not only sad story but bad story
 
Huyu Bwana na Bibi ni wa kabila gani vile?
 
What do you learn from this event guys,cause people are just giving comments forgetting that there is something to be learnt here.

Kuna haja ya ama kuacha mpango wa nje au kupima afya kabla ya tukio.
 
Si kuondoka bongo bali tofauti ya rika. Lakini shukrani kwa kunifahamisha lakini bado naona wengi humu wanaufanya mkasa wenyewe kama kiburudisho!

Amandla...
ilo neno linatumika na umri wowote mie mwenyewe ni umri ulioenda shule ila maneno yote nayasikia labda uwe unakaa mbali na mjini hapo nitakuelewa au TV yako haishiki TBC1
 
Nipeni namba ya huyo kidume kuna mama mtu mzima anasumbua sana hapa mtaani kwetu.
 
Back
Top Bottom