Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabu anayo maana kitamuuma sana kwamba mpenzi wake wa moyo amegawa tunda lao pia ni aibu ya mwanaume kwa mkewe kugawa maana inaonyesha jinsi gani asivyo mjali,mpaka anampa mwanya wa kunya mambo yakeZa Mwizi ni Arobaini
Zimewakuta
Ila Jamaa aliyeliwa mkewe hata pata taabu maana mamsapu kesha tangulia mbele ya hukumu sijui haki:A S-alert1:
huuu upumbavu ndio maana nasema mapolisi wapuuzi sana
wanataka uchunguzi gani zaidi...wakati mama kafia kwenye starehe yake na raha zake
waakamchunguze mumewe alikosa nini mkewe akawa anagawa tunda huku tena kwa mfanywakazi uuuwiiiiiiiiiiii niemshindwa kuendelea jamani
yawezekana mshabiki wa arsenal akaumia maumivu ya moyo..
kaka umeondoka Bongo muda mrefu nn? nyumba ndogo kibongo tunaita kiburudisho. Ongeza msamiati huo utapitwa na kiswahili
na liwe funzo kwa wote wasio waaminifu na ndoa zao au wenye mpango wa kuwa na nyumba ndogo!
Itabidi jamaa aozeshwe maiti na akaizike yeye nyumbani kwake kwa mkeweNimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.
Itabidi jamaa aozeshwe maiti na akaizike yeye nyumbani kwake kwa mkewe
What do you learn from this event guys,cause people are just giving comments forgetting that there is something to be learnt here.
<LI id=post_thanks_box_1374226 class="postbitlegacy postbitim">The Following 5 Users Say Thank You to Fidel80 For This Useful Post:
ilo neno linatumika na umri wowote mie mwenyewe ni umri ulioenda shule ila maneno yote nayasikia labda uwe unakaa mbali na mjini hapo nitakuelewa au TV yako haishiki TBC1Si kuondoka bongo bali tofauti ya rika. Lakini shukrani kwa kunifahamisha lakini bado naona wengi humu wanaufanya mkasa wenyewe kama kiburudisho!
Amandla...