Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.
Ameipaka matope taaluma yetu!
Labda alikuwa anafanya TRACE ROUTE na KU-PING PRIVATE IP naona imegoma
We Finest.............hebu piga picha yule mwalimu kule Mkwawa! Anakumbuka ni mara ngapi Mabere alikuja KU-TRABOSHOOT computer yao pale home wakati yeye akiwa safarini kikazi! Haifai kucheka lakini Finest umenichekesha!
Jamaa atasema kumbe ndio maana mshikaji alikuwa anakuja sana akianza ku-memorise mambo ni vingi vitakavyomuijia kichwani
Halafu ukijua itakusaidia nini
Ha ha ha wewe unamcheki Roy Hodgson watu wanafundishana kufanya CONFIGURATION ROUTER ZA CISCOWe acha tu!
......Atawaza pia na ndo maana siku ile walika muda mrefu sana kwenye ile computer ya chumbani wakati mie naangalia game ya Liverpool!
ilo neno linatumika na umri wowote mie mwenyewe ni umri ulioenda shule ila maneno yote nayasikia labda uwe unakaa mbali na mjini hapo nitakuelewa au TV yako haishiki TBC1
mbona zogo tena kama una jambo waatafuta,ushapewa maana maneno mengi ya niniHiki si kitu cha kubishana. Si lazima kwa vile wewe na wenzako mnalitumia basi wote tuwe tunalitumia. Mimi silitumii na ninakushukuru kwa kunifahamisha. Hayo ya kukaa mbali na mji au kuwa TV ambayo haujui kama ninayo au sina haishiki TBC1 hayana tija kwako na kwangu. Naomba tuishie hapa.
Amandla....
Hivi inakuwaje mkeo akishapewa taarifa kuwa umefiwa na kimada hotelini na umewekwa ndani, je itakuwaje? nadhani jamaa anaweza akaombea akae tu ndani ni bora kuliko msala ambao unamsubiri home kwake ambao ni zaidi ya jela
Kipimo kizuri kama mkewe anampenda kwenda!
Wadau wote wa Infii inabidi tuungane tukamwekee dhamana mwenzetu