Habari zilizotufikia zinasema kwamba kuna mama mmoja amekamatwa na shahada feki nyingi na kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi Urafiki. Tutaendelea kuwapa taarifa yanayotokea.
Siyo hivyo tu wamenunua kadi nyingi sana, na zingine wemechukua namba halafu wakabadilishe namba watu wasipige kura. hao ndo wezi, halafu hawajiamimi kabisa.