Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
ππ Mama hati mchezo na maisha, bado anataka kula mema ya duniaKwamba akilipanda tu atapata ajali...atakufwaa!!? π€£π€£π€£
Halafu mbona mama kijana tu
Angel huyo msanii chui anaimba nini kazi zake ni zipiKwamba akilipanda tu atapata ajali...atakufwaa!!? π€£π€£π€£
Halafu mbona mama kijana tu
wimbo wake latest unaitwa 'CCM'Huyo chui ni msanii wa nini hapa bongo maana wengine hatumjui
Afu utashangaa baiskeli ndiyo itampelekaKwamba akilipanda tu atapata ajali...atakufwaa!!? π€£π€£π€£
Halafu mbona mama kijana tu
Apo chachaAfu utashangaa baiskeli ndiyo itampeleka
Simjui mie, chui wa nini asije akanila mie πππAngel huyo msanii chui anaimba nini kazi zake ni zipi
ππ π―Simjui mie, chui wa nini asije akanila mie πππ
Hasa kwenye jamii za wajinga Tanzania hii hata uwaambieje hawatakuelewa kuhusu freemason.Wale wapuuzi walioanza kuisema vibaya Freemason miaka ya 90's na 2000 mwanzoni wameharibu sana watu