Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ila hili gari sio jipya ni mtumba na thamani yake haizidi 20MMwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za Freemason.
View attachment 3190836
Akiwa na msimamo mkali, mama huyo alidai gari hilo "ni jeneza" na kuonya kuwa hataki kushiriki lolote linalohusiana na imani au makundi yasiyoeleweka.
View attachment 3190838
View attachment 3190842