Jamaa mmoja alimwambia mkewe: unaonaje tukajikumbushia zile enzi za uchumba wetu?
Mkewe akakubali kwa kusema "sawa sio vibaya"
Jamaa akamwambia mkewe "basi kesho tukutane saa 4 garden", mkewe akakubali. Siku ya pili jamaa akafika garden akamsubiri sana mkewe masaa mawili,lakini hakutokea.
Jamaa kesho yake akamuuliza mkewe "mbona hukutokea?" Mkewe akamjibu "mama alinkataza nistoke.