Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
View: https://www.youtube.com/shorts/QtDuQaR7buM
View: https://www.youtube.com/shorts/IZFPVTnGToM
Wanasema yuko thin skinned, lakini viongozi wote wa Tanzania tangu tupate uhuru walikuwa thin-skinned. Il huyu wa sasa ni microthin skinned. Ukiangalia watu wote waliokatwa ubunge na kamati kuu utaona wengi walikuwa ni wale waliokwaruza ngozi yake. Serikali ya CCM ijayo ya 2025-2030 italeta mengi ya ajab kwani haionekani kuwa na critical thinkers bali ni machawa watupu.