mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu.
Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!?
Yaani hii ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu. Mgonjwa kiasi hiki kutelekezwa na watoto wake wa kuzaa! Inaumaaaa
Nimejikuta nalia machozi sababu ya huyu mama ila nimelia tena sababu ya huyu mtoto wa miaka nane aliyetelekezewa bibi yake amlee
Huyu mtoto alitakiwa kuwa shuleni jamani😥😥😥😥
Fuatilia kisa kizima hapa