Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama watu ni masikini, kumuangalia mama/mzazi hakuangalii umasikini wa mtu.Mpaka hapo hujanielewa!
Nachofaham Mimi, hakuna mtu asiyempenda wala kumjali mamaake au babaake ( labda awe mshirikina)!
Usihukumu kabla ya kujua chanzo ni nin, Kuna watu wanaishi maisha magumu kuliko unavyofikir, wew kama uchum wako ni level ya Kati usifikir wote wako hvyo
No reasearch no comment,inasikitisha sana ni familia nyingi watoto ni wakubwa lakini wanapambana kazi hakuna na majukumu ni mengi....i do not judge anyone in this ila sisi kama vijana tusitegemee kulelewa na wanetu uzeeni,tufanye mambo tuweke akiba ya uzeeni pia wazazi wawe karibu na wanao mwanzo mpaka mwisho wa safari i guess something is behind the scene.