Hii yote ni sababu ya chama chako pendwa, kilichotufikisha katika uchumi wa Kati ulioambatana na ongezeko la tozo za miamala, kupanda kwa mafuta, na kuwakamua wananchi
Huyo mtoto wake wa kwanza ni polepole,lastborn ni steve mengeleWewe ni mtoto wa pili kati ya wale saba mliomkimbia mama yenu
Mpaka hapo hujanielewa!Miaka 2 iliyopita kulikua na hiyo tozo unayolamikia??
Nadhani wewe ni mmoja wa wale watoto 7 wa huyu mama..... ila kumbuka tuu kwamba uzee na maradhi sio vitu hiari
Mpaka hapo hujanielewa!
Nachofaham Mimi, hakuna mtu asiyempenda wala kumjali mamaake au babaake ( labda awe mshirikina)!
Usihukumu kabla ya kujua chanzo ni nin, Kuna watu wanaishi maisha magumu kuliko unavyofikir, wew kama uchum wako ni level ya Kati usifikir wote wako hvyo
Uko sawa kabisa mama D, ila wakumbushe pia viongozi wa chama chako walegeze suala la miamala, ili angalau watoto wa huyu Mama wawe wanamkumbuka Mama yao!Sijahukumu ila nimeshangaa
Haijalishi chanzo ni nini watoto7 wa kuzaa kumtelekeza mama mzazi sio jambo la kibinadamu
Sawa hongera. Ccm sasa mfanye mpango zile bima za afya mnazoahidi kila siku na mnazoandika kwenye ilani yenu mtumize.Nilichokifanya ni sadaka sio matangazo, na sasa nmekuwekea hapa ili na wewe ushiriki na Mungu akubariki
Uko sawa kabisa mama D, ila wakumbushe pia viongozi wa chama chako walegeze suala la miamala, ili angalau watoto wa huyu Mama wawe wanamkumbuka Mama yao!
Inaskitisha Sana, ila watumie video hii viongozi wa chama chako ili wauone uhalisia wa maisha ya watanzania wanaowaongoza!