Mama ameamua

Huku Mbagala Kilungule linaitwa DUBU dah Bibi ataliwa hata hicho kidogo alichotafuta

Kamari haijawah kumuacha mtu salama
 
Mama aliwaza Nina hiki kidogo ngoja nijaribu MUNGU akipenda napitia robo ya nyama watoto wale mchuzi.Nikikosa basi.
Niliwahi kwenda Kilimanjaro hii ndiyo michezo ya machinga akina mama kwasababu wao ndiyo wanamiliki uchumi kwa biashara za kuzungusha bidhaa mjini.
 
Duuh!! Mbona kama mawazo ya huyo bibi hayapo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…