Mama mtu mzima afiwa na mme wake takriban miaka 13 iliyopita. Sasa toka katikati ya mwaka jana amekuwa akigonjeka kweli kweli. Sasa baada ya Mtoto wake moja kumpeleka hospital kwa vipimo, majibu ya Daktari yakawa ni haya. Mama yako ajafanya tendo la ndoa kwa miaka mingi. Pindi akifanya atapona na hata umwa umwa.
Mtoto wake amepanga kumpeleka mama yake kijijini kwao labda anaweza pata huduma hiyo.
Jee kutokufanya tendo la ndoa mda mrefu kuna madhara?
Ku ugua
Dr akumjibu mama, Dr amemjibu mtoto wa mama. Hata mipango ya kumpeleka kijini mama ajui dhamira yake. Ila mtoto anajua wapo wazee ambao waliishi pamoja. Pengine itakuwa rahisi kushughulikiwaSasa kama ndio hivyo mbona ni too general. Inabidi uelezee dalili za ugonjwa alio nao halafu ndio tuone kama kuna uhusiano. Kifui ni kwamba dogo hakuwepo wakati mama anaongea na Dr. na sisi hatujampata mama kumuuliza maswali so angalu weka dalili in detail.
Dr akumjibu mama, Dr amemjibu mtoto wa mama. Hata mipango ya kumpeleka kijini mama ajui dhamira yake. Ila mtoto anajua wapo wazee ambao waliishi pamoja. Pengine itakuwa rahisi kushughulikiwa
basi wale mapadre na masista walioshika imani na wito wao kwa dhati, wangekuwa wagonjwa sasa hivi. hakuna ukweli hapo!
basi wale mapadre na masista walioshika imani na wito wao kwa dhati, wangekuwa wagonjwa sasa hivi. hakuna ukweli hapo!