kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Mama mtu mzima afiwa na mme wake takriban miaka 13 iliyopita. Sasa toka katikati ya mwaka jana amekuwa akigonjeka kweli kweli. Sasa baada ya Mtoto wake moja kumpeleka hospital kwa vipimo, majibu ya Daktari yakawa ni haya. Mama yako ajafanya tendo la ndoa kwa miaka mingi. Pindi akifanya atapona na hata umwa umwa.
Mtoto wake amepanga kumpeleka mama yake kijijini kwao labda anaweza pata huduma hiyo.
Jee kutokufanya tendo la ndoa mda mrefu kuna madhara?
Mtoto wake amepanga kumpeleka mama yake kijijini kwao labda anaweza pata huduma hiyo.
Jee kutokufanya tendo la ndoa mda mrefu kuna madhara?