Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Hata wewe ungeweza kumsikia kweliπππ
Kwanini MUNGU Aseme na wachungaji tu π πWaumini wameanza kuelewa somo
Alimpa laki sita, akasema tena Mungu kasema amuongezee lakiMimi nataka kujua nini kiliendelea baada ya hapo. Mtumishi wa Mungu alichomokaje?ππ
Swadakta
Ushahidi uko wapi?Tayari amepewa, mchungaji katoa pesa
Ushahidi uko wapi?Alimpa laki sita, akasema tena Mungu kasema amuongezee laki