Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Haupo serious na unaenjoy hicho unachomfanyia bila kujali watoto....
Ningekua dada yako wala nisingekulelea hao watoto.

Ungekua serious, since ushasema upo tayari kugawana mali, nenda kafungue talaka achaneni kisheria mpange namna gani mtalea watoto then endelea na maisha yako.

Nje ya hapo wewe ni mwanaume wa hovyo tu mjinga mjinga
 
Baadae wakaja wote na wazazi wangu hadi kwangu, wakasema pamoja na yote yaliyotokea niishi nae hivyo ametubu, sio ombi ni amri ndio maana wamemleta wao
Over my dead body.... uzuri wake wananijua nilivyo mtata!
 
Usithubutu kuufuata huu ushauri,mwanamke malaya piga chini
 
Acha hizo wewe. Mwanaume unabeba kispika kutangaza matatizo ya ndoa yenu?!?!?!? Tena matatizo ya ndani kama hayo??

Hatuna wanaume siku hizi. Wanawake ndio wamekuwa walinda ndoa. Mwanamke akifanyiwa usaliti anavumilia weeee miaka kibao mwisho anakuwa kama chizi kwa kuishi na mtu anayempiga matukio muda wote. Mwanaume unapaswa kuvumilia "KOSA MOJA HALIACHI MKE."

Wanaume iweni na akili, kama umeoa mwanamke wa kibinadamu ujue kuna siku anaweza akaanguka katika dhambi ya uzinzi, km vile wewe mwanaume unavyoweza kuanguka katika dhambi hiyohiyo. Wote tunapaswa kukimbia dhambi na vishawishi vyake, lkn wale wanaoshindwa watubu na wasirudie tena. Mkeo ametubu wewe unajifanya una hasira sana...hufai kuwa mwanaume, hufai kuwa mume, hufai kiwa baba.....kosa moja haliachi mke.
 
Natamani wanawake wangejua kwamba mwanaume wa kweli ni almost impossible kusamehe kusalitiwa na mkewe, it's just how men are built! Na ukitaka kuamini ninachosema just flip the story around that huyo mwanaume awe amecheat mwanzo, then mwanamke akaondoka nyumbani, wazazi wakamlazimisha arudi kwenye ndoa yake na kwa kulipiza sasa afanye yeye sasa usaliti mbele ya mumewe. Unadhani hiyo ndoa ingabakia?

Makosa makubwa kabisa wameyafanya hao wazazi wa mwanaume kwa kulazimisha jamaa amrejee huyo mwanamke, kamwe huyo mwanaume haiwezi kuwa na amani na upendo tena kwa mke wake!

Wahenga wanasema "maji yakisha mwagika hayazoleki", hapo maji yalisha mwagika, aende akachote mengine tu!
 
Ukiona kosa moja (1), ujue kuna 100 (mia moja) ya aina hiyo yaliyofichika......Kalagha bhao.....
 
Well said...
 
Keshajifunza huyo. MSAMEHE, MRUDISHE NA WATOTO WARUDI MAISHA YAENDE MKUU..
YATOSHA
 
Nazan cc wanaume tumeubwa na kupewa upeo mkubwa tuutumie kukabili Mambo

sasa kam awali ulifanya vtimbi hvyo mbele za watoto wako utakuw umewaharbu saikolojia watoto na hawatoa amani kbs
NB. FURAHA NA KUJIFUNZA KWA WATOTO HUTEGEMEA SAN FURAHA WANAYOINA KATI YA BABA YAO NA MAMA YAO NAZAN UNGELITAFUTA NAMNA YA KU SOLVE HILI SWALA KULIKO VLE UME SOLVE .

KAMA UMEETENDA YOTE mbele ya mambo ya mwanamke tena kwa maskudu haifai tena kwa huyo mwanamke kwasababu umeedhihirisha usalit pia zidi yake unawez kuzn mnawez rudian ila huko.miak ya mbele anawez kukufanyia mambo meus kam ulio mwanamke Ambae mnApisha umri zaid ya 4+
 
Ni ubinafsi tu!! Ww unamuacha kwa ubinafsi wako bila kujali watoto , tesekq ww Acha watoto waenjoy na mama yao.
Hivi mtu kwenye akili timamu anawezaje kuleta mwanaume mwingine kwenye kitanda anacholala na mumewe? Ina make sense hiyo? Alishindwa kwenda kugongewa nje huko au kulala kwa huyo mchepuko wake?

Alichofanya huyo mwanamke ni dharau ya Hali ya juu na udhalilishaji.
 
Mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema mwanaume akichepuka anaumiza ila mwanamke akichepuka anaua
 
Mleta huu uzi mbona last seen yake inasomeka Feb18, 2016 au anatumia ID nyingine tofauti na hii, maana comment zake zimeishia mwanzoni tu huku kwingine haonekni.

Muhimu: Ushauri unaendelea kupatikana na kuwa funzo kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…