Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Ni mwanaume mjinga tu ndo humrudia mke mzinzi na ushahidi wa wazi kabisa. Mmekubali kuoa basi endesheni ndoa zenu kwa akili acheni kututia aibu wanaume
 
hakuna excuse kwa hili as kama mkewe angekua na nia swaafi angewasilisha hilo 'tatizo' kwa mumewe kwanza!
na nimpongeze tu mdau huyu wa JF kwamba mpaka sasa HANA KESI YA MAUAJI AU SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI mahakamani!
Mimi mwenyewe nimeshangaa jamaa hekima aliyojaliwa maana sisi wengine wenye mioyo laini tungekuwa timeshaua kitambo.
 
I feel you kabisa, ilo kosa halisameheki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…