Wakuu nilistaajabu mama alipo nipigia simu na kuniambia nioe mchumba wangu wa zamani ambae tumesoma wote primary toka darasa la kwanza mpaka la saba secondary na kungineko tulisoma tofauti na kila mtu akaendelea kivyake lakini tunapigiana cmu na kupeana hi ishu kubwa mpaka tukatengena yeye ameokoka yupo na Yesu mm bado ananiita wa Mataifa nilimweleza ombi la maza hili kasema atakuja tuongee wadau mchango tafadhari.
eeh!
UNAOA?
hii itakuwa ni bizinesi ya huyo mlokole,PROBABLYNaona mpwa anataka kuanza kuuza utumbo na amejiandaa kufukuza inzi
sasa mbona uliacha kimya kimya?hii inataka thread kabisaHehehe kwa sasa kujiexpress nimeacha maana nimeona sipati faida yoyote nimeamua kustaafu
sasa mbona uliacha kimya kimya?hii inataka thread kabisa
Hehehe kwa sasa kujiexpress nimeacha maana nimeona sipati faida yoyote nimeamua kustaafu
Mama atakuletea matatizo katika ndoa, in any case ni wewe unayeoa au ni mama anaoa?
mwanandoa anaemuogopa Mungu ndie mwanandoa unaeweza kumuamini zaidi kwa ulimwengu wa leo, kwani anaogopa na huku akiitakidi kwamba aanalofanya Mungu anamuona ,kwahiyo ni tabu kukuendea kinyume hata pale anapokuwa mbali na upeo wa macho yako. hivyo kama umepata nafasi ya kupendwa na anaemuogopa mungu kikweli kweli (ni vigumu kuprove hii) ni vyema ukafunga ndoa.Wakuu nilistaajabu mama alipo nipigia simu na kuniambia nioe mchumba wangu wa zamani ambae tumesoma wote primary toka darasa la kwanza mpaka la saba secondary na kungineko tulisoma tofauti na kila mtu akaendelea kivyake lakini tunapigiana cmu na kupeana hi ishu kubwa mpaka tukatengena yeye ameokoka yupo na Yesu mm bado ananiita wa Mataifa nilimweleza ombi la maza hili kasema atakuja tuongee wadau mchango tafadhari.
Bluray..uchaguzi wowote hutanguliwa na preliminaries.... mama kasaidia kufanya preliminary kisha Fidel anaanza kutafakari na inaelekea anakubali.
Tumpongeze mwenzetu maana inaelekea 2012 goal litafikiwa kabla ya muda uliotarajiwa.
This is a milestone Fidel..just be focused dont let anything/anybody waylay you.