Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
mwanandoa anaemuogopa Mungu ndie mwanandoa unaeweza kumuamini zaidi kwa ulimwengu wa leo, kwani anaogopa na huku akiitakidi kwamba aanalofanya Mungu anamuona ,kwahiyo ni tabu kukuendea kinyume hata pale anapokuwa mbali na upeo wa macho yako. hivyo kama umepata nafasi ya kupendwa na anaemuogopa mungu kikweli kweli (ni vigumu kuprove hii) ni vyema ukafunga ndoa.
kwa upande wako: je ushaweza kuikabili ndoa? ndoa haitaki utoto wala mzaha.
quiet
Kuogopa mungu si kigezo, ni tradition tu, wengine hao hao wanaojifanya kuogopa mungu ndio viwembe wa kutupwa, na wengine wasio na habari na mungu ndio watu wa familia wa kutegemewa.
In any case personally I do not believe in god, na naona mtu anayeamini mungu ana play along na deeply held societal values au hana intelligence na information to know better.
Kwa hiyo mtu anayeamini mungu kwangu mimi namuona simpleton, and that is such a turn-off.