Mama anasema nioe wa zamani


Kuogopa mungu si kigezo, ni tradition tu, wengine hao hao wanaojifanya kuogopa mungu ndio viwembe wa kutupwa, na wengine wasio na habari na mungu ndio watu wa familia wa kutegemewa.

In any case personally I do not believe in god, na naona mtu anayeamini mungu ana play along na deeply held societal values au hana intelligence na information to know better.

Kwa hiyo mtu anayeamini mungu kwangu mimi namuona simpleton, and that is such a turn-off.
 
Mimi ningependa kujua kama mwana na mama watagawana lawama kama hiyo ndoa ikienda mrama.
 

SIKUWEPO..NA HUENDA NINGEKUWEPO UZOEFU UNGEKUWA ZERO.
Mother knows best lol!
I wish ningechaguliwa huenda ingekuwa poa sana ....
 
SIKUWEPO..NA HUENDA NINGEKUWEPO UZOEFU UNGEKUWA ZERO.
Mother knows best lol!
I wish ningechaguliwa huenda ingekuwa poa sana ....

Acha hizo sweeping statements,

Would you still say this mother knew best for her five year old baby whom she sold into a prostitution ring? Only to be horrific maimed?

Hivi kuchaguliwa na wazazi ndicho wasichana wetu wa kileo wanacho aspire ?

 
Hi mkubwa!

Not every campeigner is going to be a good leader, fikiria mara mbili ushauri wa mama waweza kuwa bora kwako.

Cha msingi historia ikuongoze, kwani mlivyokuwa wote those high days alikuwa ana qualities za kuwa wife?

Naamini jibu unalo, na hasa kama ni mlokole wa kweli nadhani unamhitaji sana kwa sasa kuliko kule foolish age mlikokuwa.

Nawasilisha !
 


Mwache mlokole wa watu, katafute saizi yako, anayefanana na wewe ambaye watu wameji-express weeeee, ndo size yako mtaelewana vema
 


Oh no! MAZA WENGINE NOMA SANA!
Mama anayemchagulia mwanae mchumba ..hili ni jambo jema ..siyo kama huyu maza alivyofanya!
Binafsi mzazi wangu angenichagulia ningeona poa tu maana nitaamini uchaguzi wake ni wa heri kwangu...
 
Fidel,

Vigezo/vionjo vyako na vya mama vinafanana? Maana nina mashaka Mama anaweza kuwa ana vigezo/vionjo vyake vya mke mzuri na wewe ukawa una vigezo/vionjo vya kwako. Kama vigezo/vionjo vyenu vinafanana, then go for her, itakuwa ni advantage kwako kwa kuwa kuna imani imejengeka kwamba mama mkwe ni sumu ya ndoa, kama ni chaguo lake hawezi kuwa sumu tena na mawifi wakileta za kuleta anaweza kuwadhibiti yeye mwenyewe maana ni wanae.

Tatizo ninaloliona, ukisema NO, then ujiandae mapema kwamba ndoa yako inaweza ikawa chungu na hasa kama mke utakayemchagua atashindwa ku-get along na mama mkwe. Kitu kidogo tu Mama atakuwa anapiga kelele utadhani issue kubwa sana.

Kwa kuwa maongezi ya awali yameishaanza, ni dalili kwamba umekubaliana na mama. Hongera, na ninakutakia kila la heri. Lakini uwe na uhakika kwamba huyo uliyechaguliwa na mama unampenda kikweli na umeridhika nae.
 
Oh no! MAZA WENGINE NOMA SANA!
Mama anayemchagulia mwanae mchumba ..hili ni jambo jema ..siyo kama huyu maza alivyofanya!
Binafsi mzazi wangu angenichagulia ningeona poa tu maana nitaamini uchaguzi wake ni wa heri kwangu...

Siyo chaguzi zote za wazazi ni za heri, nyingine zinaangalia maslahi yao ....

Nilishawahi kuona movie ya wa-Nigeria (true story), Mama alimchagulia kijana wake mchumba. Bahati mbaya huyo mchumba alikuwa taahira (mentally retarded). Mama alifanya hivyo kwa malengo yake, kumbe alienda kwa mganga akapewa madawa na sharti ilikuwa ni kijana wake lazima aoe mke ambaye ni taahira.

Sio chaguzi zote za mzazi ni nzuri/ziko genuine, nyingine zinaangaalia maslahi ya Mama/wazazi na siyo maslahi ya kijana. Ukikubaliana nae, yeye atafaidika kwa kutimiza malengo yake, wewe utakuwa umebeba msalaba ambao utaujutia maisha yako yote.

Kwa wakristo, akifanya wrong choice ajue amejimaliza kwa kuwa huwa hawawezi ku-reverse maamuzi hayo mara baada ya kiapo mbele ya Padre/Mchungaji. "Until death do us part", ni maneno mabaya sana na ni kifungo cha maisha. Kwa sababu ya maneno hayo kuna watu huwa inafika anaombea mwenzi afe ili asonge mbele na maisha yake mengine.
 


ahhhhhhhhh,mama anajua mipango ya 2012 ama hii umeachana nayo? na huyo mlokole mama kamtoa wapi? now i see why umestaafu mambo ya dpt B! unajiandaa kwa haya ya kilokole!!!! duh! strength of a woman kwa kweli!
 
Umeona ni vyema ukautangazia uma wa JF kuwa umeacha kuji express na mikoba yako ya KY kachukua kaizer.[/QUOTE]

Ngoja Kaizer aje hapa...duh patakufa mtu!
 
wewe ulimjibu nini mama? huyu mdada mna uhusioano wowote hata kama ni freindship tu..mmeonana lini mwisho... tupe details this things didnt just spring up from nowhere! lazima kuna ka sababu!
 

Hiyo gia yako ya kutongoza ni kali, yaani ulimwambia mama anataka tuoane? Mwisho wa siku mke ni wako.
 
Kula kitu roho inataka/inapenda, kama wewe umempenda huyo binti we muoe tu.

Ila usije kuoa kwa kuwa mama kataka, maana mke ni wako wewe na si wamama wala familia.
 

The gist of my point, at the end of the day kitakachotokea chochote kitatokea katika ndoa yako, si ya mama.kwa hiyo akili kumkichwa, mama atashauri tu lakini uamuzi wa mwisho wako mwana.
 

...dah, mkubwa leo umeanza kwa kuungama na kuahidi kuacha kuji express, mara tena unakuja na hili... Nuru ishakuwakia wewe, itikia tu huo wito.

karibu kwenye maisha ya ndoa!
 
Fidel80 Msikilize mama yako anavyosema usiwasikilize watu wengine Mkuu
 
Mkuu kuoa bado haujanishawisha kabisa ngaja cku ziende ende kwanza...
 
Dah sasa kinacho niumiza kichwa mama alijuaje mm nina uhusiano na huyu wkt ilikuwa long time?

inawezekana kabisa binti alimfata mama na kumueleza dhumuni lake kwako na mama akaafiki ndo maana akakutwangia simu

Fidel80 inabidi umpokee yesu sasa ndo uweze kuoa huyo wa zamani wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…