Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

endelea kusikiliza hao wazazi,mpaka ukija kushtuka utakua ushakua bonge la nungayembe na MARADHI juu,maamuzi fanya mwenyewe wazazi sio wao wanakuja ishi na huyo mume bali niwewe ,haya mambo yanakera sana maana hata mimi naugulia hapa hata miezi miwili haijapita imebidi tuachane na mchumba tuliyependana kisa wazazi wamemwambia mila zitatofautiana yeye (mkenya),yaani hasira mpaka basi
 
Mimi sio jisomi kama weye, ila njoo kwangu na roho yako itapona! Walahi napata ushungu shana kila ukieleza umemegwa na midume mitatu. Hao unaowataja, je vipi wa vyuo? shule na chekechea?
 
Najma, wewe ndiye utakayeishi na mume wake na si wazazi wako. Hivyo kama unataka kuolewa na huyo wa darasa la saba basi huo ni uamuzi wako pamoja na kuwa unaweza kabisa kukukosanisha na Baba yako ambaye anataka msomi. Kipenda roho hula nyama mbichi. Kaa ufikirie hili kwa kituo na kama huyo wa darasa la saba bado mnapendana kiasi cha kuamua kuoana basi wafahamishe wazazi wako hivyo na usonge mbele na uwe tayari kwa lolote lile ikiwemo pia kutengwa na Baba yako kwa kuolewa na mtu ambaye si msomi.
 
Najma, inaonekana hizo degree zako hazikusaidii kitu; hao wazazi wako wana elimu gani na pesa kiasi gani? Mpaka wanaoana walikuwa na nini kulinganisha na hao wanaowakataa?

I suggest that you grow up and marry the person you love... Muolewaji ni wewe!!!
 

wazazi wangu wote hawjasoma na hawana pesa sana kama unavyofikilia wana pesa za kula tuu, ila kwavile they spend alots of money for my school fees they expect that they gonna enjoy the life, kigezo kingne wanaona elimu ndio kitu muimu there is no need for being marriage with mtu asiyesoma ,. na nikweli walipoowana walikuwa hawana kitu baba yangu anapingamizi kwa tajiri au maskini ila awe msomi ila mama ndio ivyo tena , okey thanks all awill do whaterever my mind need me to do
 
Mimi sio jisomi kama weye, ila njoo kwangu na roho yako itapona! Walahi napata ushungu shana kila ukieleza umemegwa na midume mitatu. Hao unaowataja, je vipi wa vyuo? shule na chekechea?

kaka kuwa na boy friend watatu is not a big deal and is not mean that ni malaya, kama ningekuwa nao ningekwambia , nashukuru kwa kuskia uchungu ila naitaji ushauri wako sio kingine, but is okey ma dear ila mawazo yako sio nilivyo
 
thanks u i will do that
 
najma watu wengi wanakutukana lakini ukweli unabaki kuwa familia zetu huwa zinaingilia sana ndoa zetu, tena hususan kwenye maswala ya dini
utaambiwa lazima mkeo abadilishe dini au mumeo abadilishe dini.
fata ushauri wa baba yako ni mzuri
wewe ukiwa umesoma na mwanaume hajasoma saa ingine inaweza ikakufanya uwe powerful ndani ya nyumba na mwanaume kujisikia mnyonge kwa ajili yeye ajasoma. ni kama vile mke mwenye fedha kuliko mume wake.
mwanaume sio lazima awe na degree mbili hata moja inatosha
na kwa ajili baba yako alishamkataa mara ya kwanza kwa ajili ajasoma na wewe pia uliachana naye hilo litakuwa doa tiyari na linaweza likawa linakuja kila mara mkiwa na matatizo ya kutokuelewana. anaweza akaju kukuambia si ulikuwa hunitaki kwa ajili sijasoma.....
miaka 30 sio mingi dada yangu kuwa na subira na changua mume ambaye mtaelewana.
 

Sorry Najma kama maswali yangu yamekaa vibaya, nilichotaka ku-address ni kwamba hawa wazazi waache kuangalia vigezo vyao kwa ndoa zetu na inatia uchungu zaidi kama wao hawajasoma lakini bado wananyanyapaa wasiosoma

Ushauri wangu ni kwamba chagua unachotaka, watalalamika lakini baada ya few months watakuwa nanyi kwa kila jambo

it has been proven in most cases
 

Semilong, nadhani si matusi ila tu labda lugha inayotumika inareflect hasira za vijana wengi towards wazazi kwa kuwaingilia kuchagua wachumba au wanandoa

Hilo la umri ndugu yangu ni ni factor, yaani wanawake wengi wasomi, tena wenye masters na kuendelea kama hawajapata wachumba hadi wanafika level hiyo ya umri na elimu huishia kwenye frustrations

Ukweli ni ukweli kwamba age inavyosogea ni matatizo kabisa
 
Najma:-

Shuka kwa wazazi wako na mwanamke, na waambie kuwa huyo ni msagaji mwenzako na mmehamua kuishi pamoja. Nakwambia wazazi wenyewe watawatafuta wachumba wako wa zamani na kuomba msamaha.
 
 
where you are now, ni kweli kabisa hata mimi nilishawahi kuona ilo mfano utakuta tunabishana kitu kwa kweli ni cha kutumioa akili ila nikisema ivi yeye anakomaa kwenye msimamo nikibisha utaskia wewe si msomi , kama vile inferiority complex ndio maana nikamwambia angesoma hata form six tuu ukikumbana na kukesha lazima brain inakuwa nzuri, lingine ndugu zake msomi hatamuweza yule mambo kama hayo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…