Mama anataka mume tajiri, baba anataka mume msomi nipo dilema

Maandiko yanasema...
Utawaacha Baba yako na mama yako na utakwenda ishi na mumeo.
Hayo wanayopiga sasa ni makerere 2...q
 
Huu usomi wa degree kumi na mbili una kazi kweli kweli siku hizi. Inayoolewa ni degree yako au wewe mwenyewe. unaweza ukawa una degree kadhaa ukakosa wa kukuoa!!!!
 
Hilo mbona lipo sana tu!
 
Huu usomi wa degree kumi na mbili una kazi kweli kweli siku hizi. Inayoolewa ni degree yako au wewe mwenyewe. unaweza ukawa una degree kadhaa ukakosa wa kukuoa!!!!

Hilo nalo neno! Watu hawatafuti digrii kwenye ndoa. Ni kitulizo cha ile kitu roho inapenda ndiyo kinatafutwa kwa ndoa.
 
Back
Top Bottom