Mama anauawa kisha unashuhudia njia ya maisha yako inapofungwa ghafla...! SEHEMU YA MWISHO

kidogo nidondoshe chozi...

nimekulia mtibwa pia,bt mimi baba yangu alitengana na mama.....niliyoyapitia kwa yule mama hayasimuliki.....kuna mengine ni kama hayo uliyoyasema......finally yule mama waliachana na mzee...hv sasa ni mama lishe pale manyinga.....nilienda last two months nikiwa na wife na mtoto wangu....km kawa toyota surf mbichi ilipopaki kwenye ule mgahawa......believe me,yule mama alizirai kwa aibu........
Nimemsamehe,bt namlaumu koz huwa nawaona wanawake km viumbe katili sana......hata mothers day huwa siielewi........aaaaasghrrrrrr....imenikumbusha mbaaaali sana...from the same place.....Mtibwa!!!
 
visa na visasili,huwa najiuliza roho hii ya kijasiri kama hii ya kushikilia anachoamini ni sawa kwa kipindi anapomtendea binadamu mwenzie ukatili usiomithilika inatoka wapi sipati jibu.

ahsante mkuu kama vile nasoma Jitambue once again kwa kweli tunalimiss.
 
Dah, imenisikitisha sana.
Utafikiri imetokea leo.

Ila be positive, usikate tamaa katika magumu yoyote, Mungu amekupa mlango wa kutokea!
 
Ndugu Mtambuzi Naomba unitag ktk vipande vingne vya mwanzo vya hii story.
 
mtambuzi naomba uwe unaweka tread zenye mauzui km ya gazeti la JITAMBUE angalau mara moja kwa wiki.Tujifunze kusamehe km huyo kijana pia tukumbuke kuwa mwisho wa ubaya ni aibu, tujitahidi kutenda yaliyo mema kwa wenzetu. Asante sn mtambuzi kwa hii thread ya leo na zote za visa vya mahakamani
 

Labda wanawake wa mtibwa!
 
Mtambuzi kwa uzoefu wangu wa hili jamvi wasomaji wetu ni wavivu sana hata michango yao haina hata uhusiano n khabari yenyewe kwa sababu hawajaisoma......na hata hawawezi kuisoma hata ukiwapa miaka 20.....wachache sana ndiyo wataimaliza yote kuisoma na michango itajionyesha tu....labda uwe unatuwekea na ufupishoi wake pia......
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi kuna mtu kakufungia leo ..Ijumaa imefika lol
Hamna story mpya???
Shikamoo mzee
 
Last edited by a moderator:
Kama hilo jina Mtambuzi ulijipa mwenyewe basi una maona kama kuna mtu alikupa mshukuru sana wewe kweli ni mtambuzi nimefuatilia threads zako nyingi uko juu sana.ila umenikumbusha sana gazeti langu pendwa la JITAMBUE tangu alivyokufa yule mmiliki Munga Tehanan gazeti nalo likafa,lilikuwa linafundisha sana lile gazeti na kama ulikuwa mfuatiliaji wa KWELI wa lile gazeti lazima ubadilike uwe na tabia au mwenendo chanya.Mtambuzi unatisha safi sana.
 
mkomatembo........
Baba hajulikani alipo mpaka leo, lakini katika hitimisho, Joseph
alimuona shemeji yake katika mazingira ambayo hakuyasimulia.

mazingira gn?napenda story ikisha iniweke wz nisipate swl lakujiuliza.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…