Mama anaupiga mwingi, deni la taifa amelipaisha hadi kufikia Tsh Trilioni 107

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Barabara , kajenga Mama

Dpw kawaleta Mama

Flyover.... mama

Mwendokasi...mama

Shirika la ndege la Zanzibar, Mama

Watalii kuongezeka kwa wingi licha ya Tanapa kutokutoa gawio zuri kama inavyopambwa... ni Mama, sjui wanampiga tu huko, mi sijui

Ngorongoro kote kule ni Mama

Deni kalipaisha kwa viwango vya kimataifa, nani kama Mama?

Shule zinajengwa kila kona

Nyie kina No reforms no election, mkae kwa kutulia kwanza, nchi iko na Mama iko sala....ma

Mama mitano tena

Hata hivyo najiuliza, kupaishwa sana kwa deni la mama kunatokana na sababu zipi

Je, hatukusanyi mapato ya ndani?

Je, tuna miradi mipya mingapi?

Ni kweli kabisa miradi iliyoachwa na mtangulizi wake ndiyo inayopaisha deni kwa kiasi hiki?

Je, miradi hiyo ilihitaji tirilion ngapi hadi ikamilike yote?

Je, pesa za ndani zinaenda kufanya kwenye miradi ipi na zinatumikaje?

Hivi, hatuwezi kuliangalia jambo hili kwa umakini na kumshauri Rais wetu?

No reforms, no.....
 
Juzi tu ilikua 97 leo hii 107 ???
Ongezeko la 10t kwa mwaka!!!
We are doomed as a country.
 
Msiwe na wasi wanasema
Deni ni himilivu

Ova
 
Barabara , kajenga Mama

Dpw kawaleta Mama

Ngorongoro kote kule ni Mama

Deni kalipaisha kwa viwango vya kimataifa, nani kama Mama?

Shule zinajengwa kila kona

Nyie kina No reforms no election, mkae kwa kutulia

Mama mitano tena

Hata hivyo najiuliza, kupaishwa sana kwa deni la mama kunatokana na sababu zipi

Je, hatukusanyi mapato ya ndani?

Je, tuna miradi mipya mingapi?

Ni kweli kabisa miradi iliyoachwa na mtangulizi wake ndiyo inayopaisha deni kwa kiasi hiki?

Je, miradi hiyo ilihitaji tirilion ngapi hadi ikamilike yote?

Je, pesa za ndani zinaenda kufanya kwenye miradi ipi?
Deni la mama
 
Si tumekubaliana kuwa tuliite deni la mama,na wale watekaji tuwaite watekaji wa mama ,nasema uongo ndugu zangu!?
 
Barabara , kajenga Mama

Dpw kawaleta Mama

Ngorongoro kote kule ni Mama

Deni kalipaisha kwa viwango vya kimataifa, nani kama Mama?

Shule zinajengwa kila kona

Nyie kina No reforms no election, mkae kwa kutulia

Mama mitano tena

Hata hivyo najiuliza, kupaishwa sana kwa deni la mama kunatokana na sababu zipi

Je, hatukusanyi mapato ya ndani?

Je, tuna miradi mipya mingapi?

Ni kweli kabisa miradi iliyoachwa na mtangulizi wake ndiyo inayopaisha deni kwa kiasi hiki?

Je, miradi hiyo ilihitaji tirilion ngapi hadi ikamilike yote?

Je, pesa za ndani zinaenda kufanya kwenye miradi ipi?
Mama yupo vizuri . mitano tena mpaka 2030 .@lucas mwashambwa njoo utie neno
 
Kuanzia 2021 idadi Amini mama amekopa mara mbili ya deni,mradi wa Kwanza kupeleka wasanii Korea,mradi wa pili kupeleka wabunge Dubai,kuwapa fedha waandishi,mradi mwingine kuwapa Simba na yanga magoli ya mama na Sasa mradi wa diamond
 
Barabara , kajenga Mama

Dpw kawaleta Mama

Ngorongoro kote kule ni Mama

Deni kalipaisha kwa viwango vya kimataifa, nani kama Mama?

Shule zinajengwa kila kona

Nyie kina No reforms no election, mkae kwa kutulia

Mama mitano tena

Hata hivyo najiuliza, kupaishwa sana kwa deni la mama kunatokana na sababu zipi

Je, hatukusanyi mapato ya ndani?

Je, tuna miradi mipya mingapi?

Ni kweli kabisa miradi iliyoachwa na mtangulizi wake ndiyo inayopaisha deni kwa kiasi hiki?

Je, miradi hiyo ilihitaji tirilion ngapi hadi ikamilike yote?

Je, pesa za ndani zinaenda kufanya kwenye miradi ipi na zinatumikaje?
Screenshot_20250613-120827~2.png
 
Back
Top Bottom