umenena mkuu, hapo ndipo utawajua jinsi watu walivyo wanafiki.Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini
Wapinzani wa nchi hii ni hovyo sana wakati wa Bunge la bajeti mlikuwa busy na kauli yenu ya kusaga kunguni mkawa busy na DIAMONDPLATNUMZ na tuzo za BET kuanzia makamu mwenyekiti hadi wapambe busy na ujinga ujinga wa diamond sasa hamuelew chochote
Sasa tunasema mama anaupiga mwingine aachwe tulipe kodi tujenge nchi tuachane na mwenda zake
Mbona watu walilalamika na baadhi ya wabunge, lkn lini serikali ilishaamua kupitisha kitu Bunge letu au hata wapinzani au wanaharakati wakazuia. Hata hivyo najiuliza "ni lini wananchi wa nchi hii watawaachia wanasiasa wa Upinzani na wanaharakati kuwatetea na wao wako kimya wakisubili matunda"?Maisha yanaenda kasi. Wakati hii inapitishwa tuko busy kuhakikisha Diamond hafanikiwi. Leo Diamond anasheherekea kununua Rolls Royce Sisi tunalia tozo za muamala ni kubwa sana!
Wapinzani gani unaowaongelea? Wale 19 walioko bungeni ambao no Wana CCM wenzenu?Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini
Wapinzani wa nchi hii ni hovyo sana wakati wa Bunge la bajeti mlikuwa busy na kauli yenu ya kusaga kunguni mkawa busy na DIAMONDPLATNUMZ na tuzo za BET kuanzia makamu mwenyekiti hadi wapambe busy na ujinga ujinga wa diamond sasa hamuelew chochote
Sasa tunasema mama anaupiga mwingine aachwe tulipe kodi tujenge nchi tuachane na mwenda zake
For sure.. tulijisahau sana, matokeo tunataona sasa.Maisha yanaenda kasi. Wakati hii inapitishwa tuko busy kuhakikisha Diamond hafanikiwi. Leo Diamond anasheherekea kununua Rolls Royce Sisi tunalia tozo za muamala ni kubwa sana!
Dah so sad[emoji26]Baada ya kufariki mzee Magufuri na kupokewa na makamu wake Sasha uliibuka msemo maalufu wa mama anaupiga mwingi sana kama kuonesha dharau na kebehi kwa hayati Magufuli baada ya tozo za simu na kodi ya mafuta hatusikii tena habari za mama anaupiga mwingi sana shida nini
Wapinzani wa nchi hii ni hovyo sana wakati wa Bunge la bajeti mlikuwa busy na kauli yenu ya kusaga kunguni mkawa busy na DIAMONDPLATNUMZ na tuzo za BET kuanzia makamu mwenyekiti hadi wapambe busy na ujinga ujinga wa diamond sasa hamuelew chochote
Sasa tunasema mama anaupiga mwingine aachwe tulipe kodi tujenge nchi tuachane na mwenda zake
wale tumekubaliana ni wenzetu.Wapinzani gani unaowaongelea? Wale 19 walioko bungeni ambao no Wana CCM wenzenu?