"Mama anaupiga Mwingi" Hivi bado inasikika

Mim naona kuna haja ya kupitisha sheria ya kutoruhusu mswaada kupitishwa na bunge mpak wananchi waukubali maan vichwa vilivyopo bungen vinafikilia matumbo yao. Juz tu hapa mbunge anatakaaongezewe mshahara sasa kuna wabunge hapo.
Prof.Assad aliwahi kusema "bunge halina meno" ni kweli hii maana wanabwabwaja tuu maneno
 
[emoji126][emoji126]anaupigia nje ya uwanja tatizo[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Maisha yanaenda kasi. Wakati hii inapitishwa tuko busy kuhakikisha Diamond hafanikiwi. Leo Diamond anasheherekea kununua Rolls Royce Sisi tunalia tozo za muamala ni kubwa sana!

Lakin hata yeye anakatwa [emoji23][emoji23]
 
Mim naona kuna haja ya kupitisha sheria ya kutoruhusu mswaada kupitishwa na bunge mpak wananchi waukubali maan vichwa vilivyopo bungen vinafikilia matumbo yao. Juz tu hapa mbunge anatakaaongezewe mshahara sasa kuna wabunge hapo.
Wazo zuri lakini kumbuka wabunge ni wawakilishi wa wanachi kwenye majimbo yao husika,
 
Usimfananishe mama na vitu vya kijinga
 
Kwendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na bado..... Hii safari tutajuta.... Hizo kodi ni kubwa mmno....
Kuna mtu kanitumia sh 21500 kupitia halotel, kakatwa sh 1350(sh 960 tozo ya serikali). Sijui nitakatwa sh ngapi nikienda kuitoa. Kampuni inapata sh 390, serikali sh 960! Huu ni wizi wa kidola.
 
Wazo zuri lakini kumbuka wabunge ni wawakilishi wa wanachi kwenye majimbo yao husika,
Kinadharia wabunge ni wawakilisha wa wananchi, kiuhalisia sivyo. Wengi walipitishwa na dola baada ya kushindwa vibaya, eg mbunge wa Tabora mjini, automatically wako royal kwa dola. Wabunge wapo royal kwa CCM, wakienda kinyume hawatarudi 2025. Wabunge wa covid-19 ni wateule wa dola ili kukidhi masharti ya misaada ya wafadhili. Mwana nchi anakosa mwakilishi.
 
Kila kukicha kauli zilikuwa ni mama anaupiga mwingi mno,, Facebook,hapa jukwaani,watssap,jamuhuri ya Twitter.
Huku sukuma gang wakipondwa haswa kila uchao.
Je? nini kimefanya kauli hii kupotea ghafla na mapema hivi?,

Mwenye taarifa atujuze tafadhali,

Hisia zangu pengine mama kaupiga mwingi mno mpaka kapitiliza? [emoji1787], Sasa apewe jina lingine?,au katugusa tuliompa hilo jina?
 
Mama bado anaupiga mwingi, Kwenye tozo kapiga chenga timu yake hadi timu pinzani, sasa wote wameanza kuzungumza lugha moja. Kuna ile timu Tumpe muda hii ndio imeishiwa pumzi kabisa.
 
Rais msikivu kama lilivyo jina lake.....

Mh.SSH anaangalia maslahi mapana ya nchi.....

Wako waliotaka awafurahishe.....kimakundi....kang'amua hila zao......

Hawa ndio walioko nyuma ya KUMSHAMBULIA kulikozidi......

Achana na hayo makundi....
Achana na hao CHADEMA....

Mh.SSH bado anaendelea kuupiga mwingi.......

Ni jana tu meli kubwa ya mizigo iliyobeba magari zaidi ya 3000 imetua hapo bandari salama......yote ni kwa sababu ya SAFARI ZAKE ZA RWANDA....BURUNDI......

Mh.Kagame ni mbia wetu.....mizigo ya Rwanda inaendelea kupitishwa hapo baada ya 'kusuasua" kwa muda........

#SiempreSSH
#SiempreJMT
#KatibaIliyopoNiNzuri
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#HakunaNamnaKaziIendeleeTu
 
Nadhani labda aina ya mpira ni outdated sijui!??? Embu wajaribu kuubadili mpira wenyewe...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…