SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hata mm hapa sijawaelew kabis wataalm hilo waliangalie vizuli
 
ata kaa hujui kwa maelezo haya utaamini ni kweli. kuna wale wanajikuta wanafanya DNA test kwa kumla mzazi asipombemenda mtoto anajua mtoto ni wake, wanapoteza muda nendeni kwa wataalamu watoe majibu maisha yaendelee.
 
Shahawa na shahawa Tu
Hii imeandikwa wapi kisayansi?
 
Ndugu zangu hivi nikweli ukiwa unasex na mwanamke anayenyonyesha alafu ukamwag..... ndani kuna hatari ya kumbemenda mtoto(kumdhoofisha mtoto)
 
Ni kweli kabisa kama ni baba wa mtoto haina shida,ila kama siyo inaweza pelekea mtoto kuugua wakati mwingine hata kifo
Hata kama umetoka kwa mchepuko haitakiwi kumnyanyua mwanao kabla hujaoga hali hii pia inaweza kumuuguza mtoto
 
Ujinga tu mkuu, mitoto ya miaka hii ingekuwa imezoofu sana kama mambo hayo yangekuwa kweli.
 
Ni kweli kabisa kama ni baba wa mtoto haina shida,ila kama siyo inaweza pelekea mtoto kuugua wakati mwingine hata kifo
Hata kama umetoka kwa mchepuko haitakiwi kumnyanyua mwanao kabla hujaoga hali hii pia inaweza kumuuguza mtoto
Duuh
 
Wazee wa zamani walikuwa na akili sana ya kuwakataza wanandoa kutafunana wakiwa na mtoto mchanga kwa kuingiza hayo mambo ya kubemenda.....walikuwa wana avoid mwanamke asipate mimba wakati akiwa na mtoto mdogo.

Kisha walikuwa wanasema ukitoka kuzagamua oga kwanza ili usimbemende mtoto ,lengo ni kwamba mtoto asinyonye mijasho ,m/ke awe msafi nipo amshike mtoto maana watoto wana tabia ya kulamba hovyo hovyo.
 
Kama ina-click hivi🤔🤔🤔
 
Akifanya na mwamke mwingine ushahidi ni mwenyewe na dawa ninayo Tena ni ya kawaida sana majani fulani yanayo tambaa hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…