spy Master
Member
- Feb 6, 2018
- 11
- 6
MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC
Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu,
Nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya , hospitali ya rufani ya kanda ya kaskazini Kilimanjaro Christian Medical Centre (kcmc), kushindwa kumpatia huduma za kimatibabu marehemu mama wa Hyoce Temu aliyejulika kwa jina la SION TEMU , na kupelekea kifo chake
"Mtu analetwa hospitali hapokelewi ' Mama Mghira alisikika akisema kwenye mazishi. Kama taasisi kama KCMC inafanya hivi ni vema kufanya uchunguzi wa ndani kujua kiini cha tatizo na kuchukua hatua ambazo zitafanyiwa kazi ili kuondoa lawama kama hizi na kupelekea huduma bora , kwani huduma bora ni faraja kwetu sisi wateja au wagonjwa .
Kupokelewa vizuri, maneno mazuri ya watoa huduma , utunzaji wa siri za wagonjwa wetu, kuwapa uhuru wa kuchagua hudumu yaani patient autonomy, kutoa huduma bila upendeleo , hivi vitu ambavyo sisi wateja tunavipenda sana, nilibahatika kutibiwa hapo KCMC mwaka 2020 wodi za upasuaji toka pale mapokezi kwenda idara ya magonjwa ya zarura nilipata huduma nzuri licha ya msongamano wa wagonjwa wengi pale kcmc, wodi za upasuaji mfano wodi one ( s one) inawagonjwa wengi sana kiasi cha waaguuzi wanajitoa kwa huduma sana licha ya uchache wao , yawezakana serikari inatoa vibali vichache vya kuajiri wauguzi , madaktari wa taalamu wa tiba lishe (clinical dietitian), na wengineo katika hizi hospitali na kupelekea uwiano wa watoa huduma na wagonjwa hauringani hii inaweza kupelekea wanafanyakazi wakawa katika mazingira ya pressure kubwa kutaka kukimbizana na idadi ya wagonjwa na kupelekea huduma isiwe bora ,naomba serikari yangu sikivu iangalie jambo hili,kwani tunaopata shida ni sisi wahitaji huduma na watoa huduma kuhumia kutokana na kazi ngumu.
HIvyo basi kama mama hana Mgira kaona kuwa chanzo cha kifo cha marehemu Sion Temu , ni uzembe wa watoa huduma ni bora apeleke vielelezo vya wazi ili kanuni za muenendo wa kimastaka za kijani zifuatwe kwa wale wote waliosababisha uzembe ,hii itasaidia kuondoa uzembe makazini, na ikiwa hakuna ushaidi wa hili ulisemalo mweshimiwa Anna Mgwira basi sheria pia ichukue mkondo wake kwako kwani sheria zetu zinakataza tangazo la habari za uwongo zinazoweza kuleta hofu na mstuko kwa watu ,watu hapa ni wagonjwa sisi ambao tunataka tukapate huduma pale,au kutoa ushaidi wa uwongo na kushawishi ushaidi wa uongo,au kutoA taarifa za uongo kwa mtumishi wa serikari nk.
Hivyo naomba mama Mgwira na ndugu wa marehemu muishtaki kcmc kama ni kweli,na kama utashindwa kufanya hivo basi kcmc imfungulie mashtaka mama Mgira iwe fundisho kwa viongozi ambao watakuwa wanakurupa kusema kitu bila uhakika wa taarifa .
Nawasilisha
www.jamiiforums.com

KCMC yakanusha kuua mgonjwa kizembe, yadai aliletwa akiwa tayari kishakufa
Ushahidi huu hapa Natoa pole kwa Wafiwa . zaidi soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mama-anna-mghwira-usiongee-sana-peleka-vielelezo-juu-ya-kifo-cha-mama-yake-hoyce-temu.1872308/...