Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

Hapana hospitali za kikanda hupelekewa vibari vya kuajiri lakini ajira hizo ni wafanyakazi wanaoajiliwa wanakuwa ni wachache ,ndo maana hata ukienda hospitali ya taifa ya muhimbili ,kcmc, bugando hutakuta kuna kundi la vijana wengi wanajitolea huko wakipata viposho vidogo ambavyo muda hawewezi kujikumimu kimaisha
KCMC na Bugando ni Hospital za Kanisa ingawa zinatumika kama Zonal Hospital,hizi Hospital zina uongozi wake unaojitegemea na una Mamlaka kamili ya Kuajiri bila kuingiliwa na Serikali! Km sijakosea pia serikali huwa inapeleka watumishi wake pale (secondments)kusaidia utoaji wa huduma kwa kiwango Zonal Hospital,kwahiyo uchache wa watumishi kwenye hizi Hospital za kanisa hakuhusiani moja kwa moja na maamuzi ya Serikali kuajiri.
 
Punguza hasira,halafu mimi huwaga najiulizaga kwa nini hospitali zinakua na shortage of staffs wakati wahitimu wa kada hio wengi wanahitimu kila mwaka...
Pesa pesa pesa. Hakuna

Pesa zote zinaishia kulipa mishahara, posho na marupurupu ya wanasiasa.
 
MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC

Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu,nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya ,hospitali ya rufani ya kanda ya kaskazini kilimanjaro christian medical centre (kcmc), kushindwa kumpatia huduma za kimatibabu marehemu mama wa Hyoce Temu aliyejulika kwa jina la SION TEMU , na kupelekea kifo chake "Mtu analetwa hospitali hapokelewi ' Mama Mghira alisikika akisema kwenye mazishi.Kama taasisi kama kcmc inafanya hivi ni vema kufanya uchunguzi wa ndani kujua kiini cha tatizo na kuchukua hatua ambazo zitafanyiwa kazi ili kuondoa lawama kama hizi na kupelekea huduma bora ,kwani huduma bora ni faraja kwetu sisi wateja au wagonjwa .Kupokelewa vizuri,maneno mazuri ya watoa huduma ,utunzaji wa siri za wagonjwa wetu,kuwapa uhuru wa kuchagua hudumu yaani patient autonomy,kutoa huduma bila upendeleo ,hivi vitu ambavyo sisi wateja tunavipenda sana,nilibahatika kutibiwa hapo kcmc mwaka 2020 wodi za upasuaji toka pale mapokezi kwenda idara ya magonjwa ya zarura nilipata huduma nzuri licha ya msongamano wa wagonjwa wengi pale kcmc,wodi za upasuaji mfano wodi one ( s one) inawagonjwa wengi sana kiasi cha waaguuzi wanajitoa kwa huduma sana licha ya uchache wao ,yawezakana serikari inatoa vibali vichache vya kuajiri wauguzi ,madaktari ,wa taalamu wa tiba lishe (clinical dietitian), na wengineo katika hizi hospitali na kupelekea uwiano wa watoa huduma na wagonjwa hauringani hii inaweza kupelekea wanafanyakazi wakawa katika mazingira ya pressure kubwa kutaka kukimbizana na idadi ya wagonjwa na kupelekea huduma isiwe bora ,naomba serikari yangu sikivu iangalie jambo hili,kwani tunaopata shida ni sisi wahitaji huduma na watoa huduma kuhumia kutokana na kazi ngumu.HIvyo basi kama mama hana Mgira kaona kuwa chanzo cha kifo cha marehemu Sion Temu ,ni uzembe wa watoa huduma ni bora apeleke vielelezo vya wazi ili kanuni za muenendo wa kimastaka za kijani zifuatwe kwa wale wote waliosababisha uzembe ,hii itasaidia kuondoa uzembe makazini,na ikiwa hakuna ushaidi wa hili ulisemalo mweshimiwa Anna Mgwira basi sheria pia ichukue mkondo wake kwako kwani sheria zetu zinakataza tangazo la habari za uwongo zinazoweza kuleta hofu na mstuko kwa watu ,watu hapa ni wagonjwa sisi ambao tunataka tukapate huduma pale,au kutoa ushaidi wa uwongo na kushawishi ushaidi wa uongo,au kutoA taarifa za uongo kwa mtumishi wa serikari nk.Hivyo naomba mama Mgwira na ndugu wa marehemu muishtaki kcmc kama ni kweli,na kama utashindwa kufanya hivo basi kcmc imfungulie mashtaka mama Mgira iwe fundisho kwa viongozi ambao watakuwa wanakurupa kusema kitu bila uhakika wa taarifa .Nawasilisha

Sasa haya unayaleta huku? Si ungewasiliana na yeye Mama Mghirwa? Huku hakuna tija kuturushia kitu kama hiki!
 
Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu,
nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya -
hospitali ya rufani ya kanda ya kaskazini kilimanjaro christian medical centre (kcmc), kushindwa kumpatia huduma za kimatibabu marehemu mama wa Hyoce Temu aliyejulika kwa jina la SION TEMU , na kupelekea kifo chake
"Mtu analetwa hospitali hapokelewi ' Mama Mghira alisikika akisema kwenye mazishi.

Kama taasisi kama kcmc inafanya hivi ni vema kufanya uchunguzi wa ndani kujua kiini cha tatizo na kuchukua hatua ambazo zitafanyiwa kazi ili kuondoa lawama kama hizi na kupelekea huduma bora ,kwani huduma bora ni faraja kwetu sisi wateja au wagonjwa .
Kupokelewa vizuri,maneno mazuri ya watoa huduma ,utunzaji wa siri za wagonjwa wetu,kuwapa uhuru wa kuchagua hudumu yaani patient autonomy,kutoa huduma bila upendeleo ,
hivi vitu ambavyo sisi wateja tunavipenda sana

Nilibahatika kutibiwa hapo kcmc mwaka 2020 wodi za upasuaji toka pale mapokezi kwenda idara ya magonjwa ya zarura nilipata huduma nzuri licha ya msongamano wa wagonjwa wengi pale kcmc,
wodi za upasuaji mfano wodi one ( s one) inawagonjwa wengi sana kiasi cha waaguuzi wanajitoa kwa huduma sana licha ya uchache wao ,yawezakana serikari inatoa vibali vichache vya kuajiri wauguzi ,madaktari ,wa taalamu wa tiba lishe (clinical dietitian), na wengineo katika hizi hospitali na kupelekea uwiano wa watoa huduma na wagonjwa hauringani hii inaweza kupelekea wanafanyakazi wakawa katika mazingira ya pressure kubwa kutaka kukimbizana na idadi ya wagonjwa na kupelekea huduma isiwe bora ,
naomba serikari yangu sikivu iangalie jambo hili,kwani tunaopata shida ni sisi wahitaji huduma na watoa huduma kuhumia kutokana na kazi ngumu.
HIvyo basi kama mama hana Mgira kaona kuwa chanzo cha kifo cha marehemu Sion Temu ,ni uzembe wa watoa huduma ni bora apeleke vielelezo vya wazi ili kanuni za muenendo wa kimastaka za kijani zifuatwe kwa wale wote waliosababisha uzembe ,
hii itasaidia kuondoa uzembe makazini,na ikiwa hakuna ushaidi wa hili ulisemalo mweshimiwa Anna Mgwira basi sheria pia ichukue mkondo wake kwako kwani sheria zetu zinakataza tangazo la habari za uwongo zinazoweza kuleta hofu na mstuko kwa watu ,
watu hapa ni wagonjwa sisi ambao tunataka tukapate huduma pale,au kutoa ushaidi wa uwongo na kushawishi ushaidi wa uongo,au kutoA taarifa za uongo kwa mtumishi wa serikari nk.
Hivyo naomba mama Mgwira na ndugu wa marehemu muishtaki kcmc kama ni kweli,na kama utashindwa kufanya hivo basi kcmc imfungulie mashtaka mama Mgira iwe fundisho kwa viongozi ambao watakuwa wanakurupa kusema kitu bila uhakika wa taarifa .
Nawasilisha
 
Hebu andika taratibu na kwa mpangilio.

Umeandika kama unakimbizwa na majinamizi ya ukoo!

Hii sijui ni risala ama insha!?

Hakuna kituo wala aya.... umerundika kila kitu kama furushi la kinyesi.

Umelewa ama?
Msamehe, kuna jambo anataka kusema.
 
MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC

Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu,nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya ,hospitali ya rufani ya kanda ya kaskazini kilimanjaro christian medical centre (kcmc), kushindwa kumpatia huduma za kimatibabu marehemu mama wa Hyoce Temu aliyejulika kwa jina la SION TEMU , na kupelekea kifo chake "Mtu analetwa hospitali hapokelewi ' Mama Mghira alisikika akisema kwenye mazishi.Kama taasisi kama kcmc inafanya hivi ni vema kufanya uchunguzi wa ndani kujua kiini cha tatizo na kuchukua hatua ambazo zitafanyiwa kazi ili kuondoa lawama kama hizi na kupelekea huduma bora ,kwani huduma bora ni faraja kwetu sisi wateja au wagonjwa .Kupokelewa vizuri,maneno mazuri ya watoa huduma ,utunzaji wa siri za wagonjwa wetu,kuwapa uhuru wa kuchagua hudumu yaani patient autonomy,kutoa huduma bila upendeleo ,hivi vitu ambavyo sisi wateja tunavipenda sana,nilibahatika kutibiwa hapo kcmc mwaka 2020 wodi za upasuaji toka pale mapokezi kwenda idara ya magonjwa ya zarura nilipata huduma nzuri licha ya msongamano wa wagonjwa wengi pale kcmc,wodi za upasuaji mfano wodi one ( s one) inawagonjwa wengi sana kiasi cha waaguuzi wanajitoa kwa huduma sana licha ya uchache wao ,yawezakana serikari inatoa vibali vichache vya kuajiri wauguzi ,madaktari ,wa taalamu wa tiba lishe (clinical dietitian), na wengineo katika hizi hospitali na kupelekea uwiano wa watoa huduma na wagonjwa hauringani hii inaweza kupelekea wanafanyakazi wakawa katika mazingira ya pressure kubwa kutaka kukimbizana na idadi ya wagonjwa na kupelekea huduma isiwe bora ,naomba serikari yangu sikivu iangalie jambo hili,kwani tunaopata shida ni sisi wahitaji huduma na watoa huduma kuhumia kutokana na kazi ngumu.HIvyo basi kama mama hana Mgira kaona kuwa chanzo cha kifo cha marehemu Sion Temu ,ni uzembe wa watoa huduma ni bora apeleke vielelezo vya wazi ili kanuni za muenendo wa kimastaka za kijani zifuatwe kwa wale wote waliosababisha uzembe ,hii itasaidia kuondoa uzembe makazini,na ikiwa hakuna ushaidi wa hili ulisemalo mweshimiwa Anna Mgwira basi sheria pia ichukue mkondo wake kwako kwani sheria zetu zinakataza tangazo la habari za uwongo zinazoweza kuleta hofu na mstuko kwa watu ,watu hapa ni wagonjwa sisi ambao tunataka tukapate huduma pale,au kutoa ushaidi wa uwongo na kushawishi ushaidi wa uongo,au kutoA taarifa za uongo kwa mtumishi wa serikari nk.Hivyo naomba mama Mgwira na ndugu wa marehemu muishtaki kcmc kama ni kweli,na kama utashindwa kufanya hivo basi kcmc imfungulie mashtaka mama Mgira iwe fundisho kwa viongozi ambao watakuwa wanakurupa kusema kitu bila uhakika wa taarifa .Nawasilisha
Serikali wanatibiwa APOLLO INDIA, unacho washauri ni sawa na kumpigia MBUZI HITAA LA SOLLO kama la Dali kimoko.
 
Kcmc wanachangia nini?
Hizi hospitali za mashirika ya dini zinazofanya kazi na serikali, kikweli sijui ubia wao ukoje.

Ila ninachojua zina wataalamu wanaoajiriwa na serikali kwenda kwenye vituo hivyo.
 
Duuh Hali Ni mbaya Kwa wanasiasa kuingilia masuala ya kitaalamu

IMG-20210521-WA0076.jpg

IMG-20210521-WA0073.jpg
 
Kuna kila dalili 30% ya wagonjwa hospital ya KCMC huwa wanafariki, na tangu kuanzishwa kwa hospital hiyo miaka 50 iliyopita haijawahi kutoa idadi yà Vifo .
Mtu yeyote anayepelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu, maana yake ana probability kubwa ya kufa kwani ni mgonjwa
 
Hapana hospitali za kikanda hupelekewa vibari vya kuajiri lakini ajira hizo ni wafanyakazi wanaoajiliwa wanakuwa ni wachache ,ndo maana hata ukienda hospitali ya taifa ya muhimbili ,kcmc, bugando hutakuta kuna kundi la vijana wengi wanajitolea huko wakipata viposho vidogo ambavyo muda hawewezi kujikumimu kimaisha
Ni hospitali ya kikanda au ya rufaa?
 
Back
Top Bottom