Mama aondolewa katika sensa

Mama aondolewa katika sensa

Jitelani

Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
14
Reaction score
4
Mama mmoja leo ameondolewa katika semina inayoendelea hapa nchini kisa ananyonyesha hivyo basi hawezi kumudu shughuli za sensa. VIPI SHERIA YA KAZI INASEMAJE HAPO WATAALAM
 
Ndugu yangu, kwa mujibu wa maelezo kutoka serikalini inasemekana miongoni mwa vigezo vya kuwa karani wa sensa mwaka 2012 kwa mwanamke ni hivi

1. Asiwe mjamzito

2. Asiwe ananyonyesha

3. Mengineyo

Maelezo haya nilipewa na mratibu wa elimu wilaya flani hapa nchini wakati wa mchakato wa kupendekeza makarani wa kike.

Kwa uhakika zaidi wasiliana na mratibu wa elimu eneo lako nadhani utapata maelezo ya kina na yenye kuridhisha.

Huo ndiyo mchango wangu kwako.
Asante.
 
haya huyo mmemfikia kwa sababu yuko maeneo yanayofikika cc huku yan wapo wengi!
 
Ndugu yangu, kwa mujibu wa maelezo kutoka serikalini inasemekana miongoni mwa vigezo vya kuwa karani wa sensa mwaka 2012 kwa mwanamke ni hivi

1. Asiwe mjamzito

2. Asiwe ananyonyesha

3. Mengineyo

Maelezo haya nilipewa na mratibu wa elimu wilaya flani hapa nchini wakati wa mchakato wa kupendekeza makarani wa kike.

Kwa uhakika zaidi wasiliana na mratibu wa elimu eneo lako nadhani utapata maelezo ya kina na yenye kuridhisha.

Huo ndiyo mchango wangu kwako.
Asante.

nimekusoma asante
 
Back
Top Bottom