Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, kwa mujibu wa maelezo kutoka serikalini inasemekana miongoni mwa vigezo vya kuwa karani wa sensa mwaka 2012 kwa mwanamke ni hivi
1. Asiwe mjamzito
2. Asiwe ananyonyesha
3. Mengineyo
Maelezo haya nilipewa na mratibu wa elimu wilaya flani hapa nchini wakati wa mchakato wa kupendekeza makarani wa kike.
Kwa uhakika zaidi wasiliana na mratibu wa elimu eneo lako nadhani utapata maelezo ya kina na yenye kuridhisha.
Huo ndiyo mchango wangu kwako.
Asante.