kaputula
Member
- Mar 29, 2012
- 97
- 128
Wengi tulipoona uteuzi wa mtu mwenye tuhuma ya cheti feki cha uzamivu 'Phd' kua katibu mkuu wa ccm tukajua lazima kutakua na upigaji mizinga na mambo yasiyo sahihi kwenye ccm.
Wanaccm wengi wanataka kuona mkutano mkuu maalum utakaokua na ushindani na uwazi kuhusu kuchaguliwa mgombea urais. Kama inavyojulikana na wote mama hajapita kwenye tanuru la ugombea urais wa jamhuri kwenye chama. Amekua rais kikatiba baada ya mtangulizi wake kufariki dunia. Ukweli watanzania wengi wana kiu kumpata rais mtu mahiri na jasiri kama alivyokua Magufuli. Wanajua wapo watanzania wenye sifa aina hiyo na mama samia siyo huyo mtanzania.
Kilichofanyika leo huko Dodoma kwenye mkutano maalum wenye ajenda kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa ccm kisha chawa wachache kumchagua samia kama mgombea urais 2025 ni kinyume kabisa cha utaratibu.
Wanaccm tunataka muda utakapofika kufuatana na kalenda ya tume ya uchaguzi kiitishwe kikao cha mkutano mkuu baada ya wanachama wote wanaopenda kugombea kua wagombea urais kupewa nafasi sawa. Hatutaki mawazo ya mabush lawyers kama mzee Makamba kuendesha chama. CCM ina katiba na taratibu zake. Lazima ziheshimiwe.