MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI SHULE ya KIISLAMU TAMBAZA

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
[h=2]MKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAMU WA SHULE YA SEKONDARI TAMBAZA[/h]by JOHN BUKUKU on JANUARY 5, 2013 in JAMII with NO COMMENTS

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake Mama Asha amewahasa vijana hususan wanafunzi hao waliohitimu masomo kutokukubali kutumika na watu wenye maslahi binafsi na kujikuwa wakisababisha uvunjifu wa amani. Aidha amewataka kutojihusisha na makundi yanayochochea uvunjifu wa amani bila kujitambua wafanyalo, badala yake amewambo kuwa wakipima kila wanaloambiwa kuwa linamaslahi na dini yao ama maslahi kwa jamii na taifa kwa ujumla. Picha Zote na SUFIANIMAFOTO

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Latifah Nuhu, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Mwinga Gwao, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi mhitimu wa Kidato cha Sita, Zuhura Azmin, kwa kuwa mmoja kati ya waliofanikisha sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wahitimu wa kike wakiwa katika mahafali hayo leo.

Baadhi ya wahitimu wa kiume, wakiwa katika mahafali hayo leo.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Khadija Hassan, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Dua baada ya shughuli hiyo kukamilika.

Mama Asha, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wanafunzi wahitimu wa kidato cha sita, baada ya zoezi la kugawa vyeti kwa wahitimu.
 
Naona PICHA ya MWISHO; TAMBAZA ni SHULE ya KIISLAMU sasa hivi??? NAOMBA Msaada...
 
Unahitaji msaada gani hapo?
Hiyo ni jumuiya ya wanafunzi wa kiislamu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
We hujielewi, ni jumuia ya wanafunzi wa kiislam, kama ilivyo jumuia ya wanafunzi wa kimadhehebu ya makanisa mbalimbali kama sabato, wewe wa wapi?, acha ushabiki usiokua na ufahamu, na hisi nimukufahamisha
 
halafu mnasema waislam hawajasoma sijui mnataka wasome nini tena!!!!!lets go muslims the days are numbered
 
Hacha kujipa moyo ustaadhat.Nyie mnapitapita shule tu,Shule zenu si ndo zinaongoza kwa kutoa sifuri nyingi toka Tanzania ipate uhuru.
 
Safi sana vijana wa kislamu tukomboe taifa letu dhidi ya hawa ndumilakuwili
 
too late nyinyi mnatambaa sisi tunakimbia. Hivi mna Vyuo Vikuu vingapi? Tutawatuma sana na watoto wetu watawatuma sana watoto wenu.
 
MKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAMU WA SHULE YA SEKONDARI TAMBAZA

by JOHN BUKUKU on JANUARY 5, 2013 in JAMII with NO COMMENTS

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake Mama Asha amewahasa vijana hususan wanafunzi hao waliohitimu masomo kutokukubali kutumika na watu wenye maslahi binafsi na kujikuwa wakisababisha uvunjifu wa amani. Aidha amewataka kutojihusisha na makundi yanayochochea uvunjifu wa amani bila kujitambua wafanyalo, badala yake amewambo kuwa wakipima kila wanaloambiwa kuwa linamaslahi na dini yao ama maslahi kwa jamii na taifa kwa ujumla. Picha Zote na SUFIANIMAFOTO

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Latifah Nuhu, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Mwinga Gwao, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi mhitimu wa Kidato cha Sita, Zuhura Azmin, kwa kuwa mmoja kati ya waliofanikisha sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wahitimu wa kike wakiwa katika mahafali hayo leo.

Baadhi ya wahitimu wa kiume, wakiwa katika mahafali hayo leo.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita, Khadija Hassan, wakati wa sherehe za mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Tambaza. Mahafali hayo yamefanyika leo, katika shule hiyo ya Tambaza jijini Dar es Salaam.

Dua baada ya shughuli hiyo kukamilika.

Mama Asha, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wanafunzi wahitimu wa kidato cha sita, baada ya zoezi la kugawa vyeti kwa wahitimu.

Imependeza sana hii ...congrats kwa vijana waliohitimu ,ni hatua ya juu walioifikia .
 
Back
Top Bottom