Mama atembea na Mwanae wa kumzaa Moshi

Mama atembea na Mwanae wa kumzaa Moshi

'Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na kumuacha mtoto wake baada ya kupewa dhamana alipata presha ndipo aliopoteza maisha.'

nimeshindwa kuelewa kabisa ebu fanya marekebisho
 
Kutoka Mkoa wa kilimanjaro (kamanda wa polisi (Simon Maigwa) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jambo ambalo limewashangaza watu wengi.

View attachment 2580033

Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na kumuacha mtoto wake baada ya kupewa dhamana alipata presha ndipo aliopoteza maisha.

kamanda (Maigwa amekiri kutokea kwa tukio hilo nakusema Mama ndo alikuwa na kosa maana ndiye aliyekuwa akimlazimisha mwanae.

mwanae yuko chini ya umri wa miaka 18
ile dhana kwamba wachaga wengi tu ni watoto wa baba mkwe naanza kuiamini. kama mama anaweza kuzini na mtoto wake wa kumzaa,vipi wale wake wanaoolewa na kuhifadhiwa vijijini waume zao wakiwa mijini wanachoma chips na kitimoto, kwamba inasemekana huwa wanalalwa na wakwe (baba wa mume) ili kulinda ndoa na mtoto anayepatikana ni wa mume...wachaga tokeni uvunguni mje tujibizane na sisi wapare.
 
Sio kilimanjaro ya Moshi,kule kanda ya ziwa kuna sehemu moja maarufu panaitwa kilimanjaro nadhani ndiko huko mama anatuhumiwa kumlawiti mwanae wa kumzaa
 
Achaa ujinga ww kwahyo hao wanaotembea na watt huko mijin wanajiita mashuga mami ni wachaga tumia akili acha kutumia utumbooo
Mambo ya hovyo,viongozi wa hovyo wanatoka huko ukanda wa kuanzia mbele ya Mwanga mpaka Monduli juu.
 
Kila jamii ina baadhi ya watu wasiokuwa na maadili.
Ukanda huo swala la maadili kwao ni sufuri kabsa....kama ww ni mwanaume na sio mchaga na haujaoa ukitaka kuoa kaongee na wazazi wako sema nataka kuoa mchaga,utakuja kunishukuru.
 
Kuna mtu nilimpangisha miaka hiyo alikua akimgegeda mtoto wake wakumzaa...
 
Asee usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Habari yenyewe imekuja nusu lakini cheki waefeso wanavyo comment sasa!! Huku sisi tumekwisha isahau hii habari na huyo mama wala sio mchaga.
 
Back
Top Bottom