Mama atembea na Mwanae wa kumzaa Moshi

Mama atembea na Mwanae wa kumzaa Moshi

Jamani balaa hili.Hii itakuwa ilikuwa masharti ya kupata utajiri.
 
ile dhana kwamba wachaga wengi tu ni watoto wa baba mkwe naanza kuiamini. kama mama anaweza kuzini na mtoto wake wa kumzaa,vipi wale wake wanaoolewa na kuhifadhiwa vijijini waume zao wakiwa mijini wanachoma chips na kitimoto, kwamba inasemekana huwa wanalalwa na wakwe (baba wa mume) ili kulinda ndoa na mtoto anayepatikana ni wa mume...wachaga tokeni uvunguni mje tujibizane na sisi wapare.
Hii nilikwisha ambiwa na mchaga mwenyewe.
 
Kutoka Mkoa wa kilimanjaro (kamanda wa polisi (Simon Maigwa) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jambo ambalo limewashangaza watu wengi.

View attachment 2580033

Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na kumuacha mtoto wake baada ya kupewa dhamana alipata presha ndipo aliopoteza maisha.

kamanda (Maigwa amekiri kutokea kwa tukio hilo nakusema Mama ndo alikuwa na kosa maana ndiye aliyekuwa akimlazimisha mwanae.

mwanae yuko chini ya umri wa miaka 18

Dunia inazidi kua ya hovyohovyo we mapenzi ya mama kwa mtoto wa kiume kwa sasa wanawaharibu watoto wa kiume
 
Ukanda huo swala la maadili kwao ni sufuri kabsa....kama ww ni mwanaume na sio mchaga na haujaoa ukitaka kuoa kaongee na wazazi wako sema nataka kuoa mchaga,utakuja kunishukuru.
Sishangai nipo hapa kino kuna jirani yangu anakula watoto wake wawili swaaf maisha yanaendelea watt wameuelewa wa baba kila wakienda kwa mabwana baada ya mwez wanarud wamegombana na mume baba anawambia kaeni hamjakosa kitu kwanguu in chaga voice es
 
Wapuuzi wengi sana hapa mkuu inabidi tunyooshane.
Habari imedescribe detail zote bado anatuuliza maswali ya kipuuzi😁

Najua kwa nn wanajifanya hawajaelewa ndio hao wenyew jiwe limewagusa na lina ukweli wachaga tunaishi nao ni mwendo wa in marriage
 
Back
Top Bottom