Mama awapikia watoto wake mawe akiwadanganya ni chakula

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Mjane mmoja nchini Kenya amepikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva.

Mwanamke mmoja nchini kenya ameelezea vile ambavyo amekuwa akiwapikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva.

Penina Bahati, mama wa watoto wanane hajafanikiwa kupata kazi zisizohitaji ujuzi ambazo amekuwa akifanya siku za nyumba kutafutia watoto wake chakula cha kila siku.

Mjane huyo anayeishi maeneo ya pwani mji wa Mombasa anaweka mawe na maji sufuriana na kuyaweka motoni hadi watoto wake watakapo lala.

Kituo cha Runinga cha eneo cha NTV kiliweka video mtandaoni inayomuonesha mama huyo akipika mawe hayo.

Jirani yake aliamua kuelezea kituo hicho cha habari masaibu yake baada ya kumshuhudia akipika mawe alipokwa amekwenda nyumbani kwake na kuanza kutoa wito kwenye mitandao ya kijamii isaidie kumpa mama huyo msaada wa chakula.

Mama huyo anayefahamika kama Bahati, amekuwa akipokea pesa kupitia simu ya mkononi pamoja na kufunguliwa akaunti na jirani yake ili aweze kupata usaidizi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inauzunisha Sana mama anaehitaji msaada hata Kama c wa kilacku japo wa cku moja moja angalau awe mda mwengine anapumzisha kichwa
 
Kisa hiki kimetokea huko Kenya. Nzige nao wanafanya yao. Tuwaombee majirani wasikumbwe na baa la njaa.

 
Mungu baba wa mbinguni, uliyefanya konzi ya unga na Mafuta ya mjane wa Serepta visiishe, naomba umuondolee mwanamama huyu dhiki ya kukosa chakula yeye na wanawe, amen
 
Hii habari imenikwaza Sana japo wengine wameishia kusikitika. Kwa Karne hii kwa mtu kukosa chakula hadi kufikia point ya kukusanya mawe na kuweka jikoni yaive uwape watoto kwangu mm ni umaskini na ufukara uliopitiliza.

Kwa Taifa lenye mbwembwe nyingi majigambo ya kizungu na mikwara mingi kwenye nmitandao ya kijamii kama Kenya sikutegemea hili litokee

Lingetokea Somalia au Eritrea, Sudan tungesema potelea pote Wana Hali ngumu.Kumbe hata hawa wazungu wanaotusumbua kwa Kingereza kireeeefu hata chakula hakuna? Kama binadamu unakosa mlo wako na watoto wako utawezaje kutimiza ndoto zako za kimaendeleo?

Vilaumbele vya Taifa la Kenya ni vipi kama watu wake wanakosa chakula na kuchemsha mawe, how on earth?
Huyu mama amewavua nguo WAKENYA. Pambaneni na tatizo la chakula kwanza kabla ya kutaka kujiita middle sized economy. Nimekasirika Sana.

Lockdown ya kazi gani if this is happening?

Why people die for lack of food? At this age? Seriously?

=====
Kenya : she was boiling rocks to make her children think they were going to eat


The Kenyan population has been moved by the image of a widow who lives in extreme poverty and reached such a difficult situation that she decided to boil rocks to make her eight children believe that she was preparing food for them.
Peninah Bahati Kitsao lives in Mombasa and worked washing clothes until restrictions on movement due to the coronavirus pandemic prevented her from continuing to receive that income and now it is very difficult for her to find another job.

One of her neighbours alerted the media to her case and managed a huge donation campaign for the 45-year-old woman who is raising her eight children alone.


After being interviewed by the NTV network in Kenya, the widow has received money thanks to a phone line and a bank account that her neighbour opened for her because she cannot read or write.

Kitsao is kept in a two-room house without running water or electricity and has described the generosity of Kenyans as “a miracle”. “I didn’t think they could be so loving after receiving calls from all over the country asking me how they could be of help,” he told the Tuko news portal.

The woman said that despair had caused her to put rocks in a pot of water while waiting for the children to fall asleep believing they would eat when they woke up. But he explained to NTV that his hungry children had not been long fooled by his delayed tactics of cooking the stones.

” They started to tell me that they knew I was lying to them, but that I couldn’t do anything because I had nothing,” Kitsao said in the television report that made a huge impact on the Kenyan audience. Her neighbour had gone to see if the family was okay after hearing the children cry, NTV added.

As part of measures to protect the most vulnerable from the coronavirus crisis, the government has launched a feeding program. But the benefit has not yet come to Kitsao, who was widowed last year when her husband was killed by a criminal gang.

At the same time, Kitsao’s story of despair coincided with the revelation that the Kenyan Ministry of Health has spent huge sums of money – donated by the World Bank to respond to the pandemic – on tea, snacks and mobile phone cards for your staff.

Kenya registered its first case of coronavirus on March 12 and since then, according to WHO data, it has recorded 374 infections and 14 deaths.

Last Sunday, the Government of Kenya announced that it was extending the closure of schools due to the coronavirus for a month. Schools were closed in mid-March, at which time programs were launched to teach through radio and television programs. That announcement came a day after Kenyan President Uhuru Kenyatta extended the curfew in the capital Nairobi for another 21 day.

Source: The Eastern Herald

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio Maana China huvifungia vyombo vya habari za kipumbavu kama hizi... Si uwasaidie chakula....
 
MK254 huwezi kumkuta hapa,yupo bize anatafuta maji akakoge ili.awahi foleni ya kuchanjwa kwa majaribio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…