Walifanikiwa kuingiza nchi gizani, mgao wa maji, kuongezeka kwa ubadhirifu wa rushwa?Trump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?
Hata Obama alipiga kazi kinyamwezi duniani lakini sijawahi kumsikia akiitwa daktari. Mwalimu Nyerere alitunukiwa shahada nyingi sana lakini hakujivunia kuitwa daktari. Kizaazaa kilianza kwa Jakaya na sasa kwa Samia, bila kutanguliza neno Dr. huwezi kuwataja majina yao . Alale pema peponi MTUKUFU RAIS DANIEL TOROITICH ARAP MOITrump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?
Trump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?
Raisi mmoja alishawahi kusema, ukiona whites wananisifia mjue nimewasalitiHuko duniani wanaona nini ambacho sisi hatukioni kwa mwishimiwaView attachment 2444884
Teh teh πππ hawana vigezo hao.Trump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?
Hawana ushawishi [emoji23]Trump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?