Mama azidi kupaa

Mama azidi kupaa

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,973
Reaction score
3,643
Huko duniani wanaona nini ambacho sisi hatukioni kwa mwishimiwa
FB_IMG_1670922775092.jpg
 
Si kazi ndogo kushawishi watu wakae gizani, wanunue vitu kwa gharama ya juu (huku unawaambia wamezoea vya bure) na kule unaendelea kuwarundikia madeni ya kulipa....

Indeed nadhani kwa ushawishi huo atakuwa top 10
 
Trump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?
Walifanikiwa kuingiza nchi gizani, mgao wa maji, kuongezeka kwa ubadhirifu wa rushwa?

Kama hawakufanya haya wasahau kukwaa hiyo tuzo.
 
Trump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?
Hata Obama alipiga kazi kinyamwezi duniani lakini sijawahi kumsikia akiitwa daktari. Mwalimu Nyerere alitunukiwa shahada nyingi sana lakini hakujivunia kuitwa daktari. Kizaazaa kilianza kwa Jakaya na sasa kwa Samia, bila kutanguliza neno Dr. huwezi kuwataja majina yao . Alale pema peponi MTUKUFU RAIS DANIEL TOROITICH ARAP MOI
Trump na Biden Bado kuukwaa udokta, utaratibu wa wenzetu upoje?
 
Si kila mpiga kelele ni mshangiliaji, wengine huwa wazomeaji pia.

Ushawishi una maana nyingi. Na si kila ushawishi ni mzuri. Hata dada poa ana ushawishi kupelekea kumnunua.
Comment haihusiani na mada.
 
Kuna watu ni wajinga, na kwa sababu wanaishi kijinga wanawalazimisha watu waupokee ujinga kama kitu cha maana.Japo watu wanawapuuza na ujinga wao.KWANI HUWA MNALIPWA SHILINGI NGAPI?
 
Back
Top Bottom