"Mama Baleke" kuchezesha Simba na Yanga kesho

Bila shaka lengo la mlezi wenu Wallace Karia la kuhakikisha vidada vya mchongo vinawabeba kwa gharama yoyote ile, litatimia kwa mara nyingine tena.

Ila mwisho wa siku Bingwa wa ligi kuu atabakia kuwa Yanga! Tena kwa mara ya 3 mfululizo.
 
Unateseka ukiwa wapiiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lia taratibuu shost.
 
Simba na Yanga ni ANOTHER LEVEL….!!! Naamini hawezi kuleta upuuzi kma wa refa wa juzi…!!! La sivyo atapigwa hata ngumi…!!
 
Mama Baleke kwa mbaali anafanana na mama Hachraf Hakimi wa psg.

Maza maza,,maza huyo🎶🎵
Nguvu moja💪
 
Bila shaka lengo la mlezi wenu Wallace Karia la kuhakikisha vidada vya mchongo vinawabeba kwa gharama yoyote ile, litatimia kwa mara nyingine tena.

Ila mwisho wa siku Bingwa wa ligi kuu atabakia kuwa Yanga! Tena kwa mara ya 3 mfululizo.
Kama unaumia chomoa
 
Mbona kama umekata tamaa mapema..je mkichukua kombe nyie huyu mama atakuwa wa injiniaaaa soma hiyoooo....
 
Yanga kachezeni mpira acheni malalamiko yasiyo na miguu wala kichwa..kukimbilia kusema refa wa Simba ni kutojiamini
 
Endeleeni kuota mchana ila atakae fungwa leo anajulikana
 
Yanga kachezeni mpira acheni malalamiko yasiyo na miguu wala kichwa..kukimbilia kusema refa wa Simba ni kutojiamini
Mnatuletea waamuzi wenu wa mchongo, halafu mnataka tunyamaze kimya!! Tutaongea tu.

Leo huyo mwamuzi wenu achague tu moja; kuchezesha kwa haki, au kufuata maagizo kutoka juu na hivyo kuiharibu mechi.
 
Kwanini tff inaendekeza Sana marefa wanawake....napendekeza mechi zote za yanga ziwe zinachezeshwa na marefarii wa kiume....tunawaendekeza Sana hawa viumbe kuamua mambo ya wakubwa.
 
Mnatuletea waamuzi wenu wa mchongo, halafu mnataka tunyamaze kimya!! Tutaongea tu.

Leo huyo mwamuzi wenu achague tu moja; kuchezesha kwa haki, au kufuata maagizo kutoka juu na hivyo kuiharibu mechi.
Timu malalamiko on fleek...ni kwamba mmeshalouwaaa kabla hamjaloweshwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…