The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
acha tu
naskia et teamo wale mbuz +visusio+supu yake vimemfanya awe mfup...!!!!
roya roy et kankalia kimya.....!!!!!!
haaaaa akisitisha msaada tutaenda kwa teamo...!!!Huyu mfadhili naona anataka nifahamu kabisa kwamba hataki tena kuleta misaada kwangu orait sasa ngoja kwanza nimalise ile shughuli kwanza
haaaaa akisitisha msaada tutaenda kwa teamo...!!!
Mamabig anapiga mayowe mwenyeweWanaofanya kweli huwa hawasemi sana bali ufanya kwa matendo. Kwa hiyo Kelele mingi Matendo goigoi. Simba mwenda Kimya ndiye mla nyama.
hahahaha!acha tu
naskia et teamo wale mbuz +visusio+supu yake vimemfanya awe mfup...!!!!
roya roy et kankalia kimya.....!!!!!!
na sisi tuaziba pale jirani na .....................Mama big karibu loh.........ila taratibu maana naona wababa weshaanza kuchetuka.... kusikia sikio moja lazibwa kwa ulimi usijeshangaa wengine wakawasingizia wake zao kuwa ni mavuvuzela wakataka uwazibe masikio
hahahaha!
roya nilishamwambia kwamba HANA CHAKE!.......
hata mimi cimu zangu hapokei
Mtu chake....hapa Mama Big hupenyezi
aka dereva tax sio?haaaaa akisitisha msaada tutaenda kwa teamo...!!!
Mama big karibu loh.........ila taratibu maana naona wababa weshaanza kuchetuka.... kusikia sikio moja lazibwa kwa ulimi usijeshangaa wengine wakawasingizia wake zao kuwa ni mavuvuzela wakataka uwazibe masikio
Mamabig anapiga mayowe mwenyewe
Kipi? Maumivu ya moyo?Hujui ukosacho...:smile-big::smile-big:
Mmmh mama B! Hiyo huduma yako unatoa hata kwa wamama wenzio?Maneno ya mkosaji hayo au unataka huduma nini umeshinda uanzie wapi! Njoo nikupe copy ndo utajua kama ni mayowe au!
kamataa jogoo moja, peleka mwilini....mwambie huyo bht baaanaaa!Hujui ukosacho...:smile-big::smile-big:
kwa mfano wewe, mama b atashughulika na balantanda!Mmmh mama B! Hiyo huduma yako unatoa hata kwa wamama wenzio?
Cha ajabu ma sugarmammy kama mama big hawavishwagi pete licha ya maujuzi yao.