Hii kitu mbeleni italeta matatizoWanaubiri haki sawa mdomoni mwao ila matendo wanajipa kipaumbele wao zaidi. Utasikia haki ya mtoto wakike kwani wakiume sio mtoto?
Kabisa mkuuuMwanaume ni jeshi linalojitegemea, bila promo yoyote tuko mbele mpaka mwisho wa dahari.
Chama cha wanahabari wanawake, cha wanasheria wanawake, UWT nk tunaangalia tu.
Hakuna mwanadamu atabadirisha mipango ya Mungu kamwe!!
ongeza na chama cha madaktari wanawake, makanisani nako kuna wwk wanajiita jeshi kubwa, huwezi kusikia chama cha wanaume.Mwanaume ni jeshi linalojitegemea, bila promo yoyote tuko mbele mpaka mwisho wa dahari.
Chama cha wanahabari wanawake, cha wanasheria wanawake, UWT nk tunaangalia tu.
Hakuna mwanadamu atabadirisha mipango ya Mungu kamwe!!