Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mama mmoja mweusi mfupi kiasi amekua kila ikifika jioni anapita kwenye maduka kuomba chenchi elfu moja au kuomba shilingi mia ili anunue pipi, ukimpa tu, baadae pesa zako zinasepa.
Au anaweza kukuomba chenchi ya mia tano...🤣yaani mia mia...akisogea kidogo anakurudia umpe mia mbili mbili..😂
Au chenchi ya elfu tano...🤣buku buku , akisogea tena anarudi anataka chenchi ya buku mbili mbili...au anakuomba tena chenchi anasahau alitoka kwako...
Kwa watu wanaofanya biashara mitaa ya baa za picnic, africana , arusha live kaloleni wanaweza kuwa wamemuona.
Familia yao inaishi vizuri sana mitaa hiyo hiyo ya kati ya africana na arusha live.