Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

Huyo warumi Ni fan wa Zari so lazima amchukie Hamisa as if yeye ndio kaibiwa bwana ( in wanawake voice). Diamond amcheat Zari kwa Hamisa lakini anayeumia awe warumi hii inanichekesha Sana.Hiv mtoto mzuri Kama Hamisa mobetto utasemaje ameiba bwana? au EvilSpirit kweli unaweza ukaibiwa na Hamisa mobetto?
Kweli mkuu mtoto mkali sana huyu...
Screenshot_20201001-104339.jpg
 
Umekuja mbio kusoma thread ya tahira, kweli chizi hajijui
Ukoo wenu kuna tatizo pahala,bibi yako anamuhitaji diamond kimahusiano,maza ako anamuhitaji diamond kimahusiano,wewe unamuhitaji diamond kimahusiano,kudanga gani huku na nyie,yaani ukoo wote wadangaji mpaka grandma umri umemtupa mkono lakini wapi
 
Ila huyo bibi kizee ni mjinga sana na limbukeni wa maisha

Hamisa aachane na hii familia , kwa nini aende kumzungumzia kwenye media mtu ambaye hamtaki?

Unajua umaskin ni mbaya sana , hamisa mobetto wanamdharau kwa kuwa hana pesa , ajaribu kutafuta pesa aone, huon wanavyowashobokea wakina tiffah ? Coz mama yao ana pesa , Ana hadhi they feel proud kuwa na mkwe mwenye pesa

Hamisa is very beautiful ni akili tu anakosa, na kinachomfanya ajipendekez ni njaa tu sio mapenzi

Juzi juzi alijifanya ame move on, now kiko wap ? Atadharauliwa had anakufa kama asiponadilika
 
Mtoa mada wewe ni me au ke? kaa mbali na Hamisa ogopa watu waliokwisha jifunika shuka moja na kuhemeana kaaa mbali haswa............ atakapozaliwa wa pili ndio utajua hujui
 
Mtoa mada wewe ni me au ke? kaa mbali na Hamisa ogopa watu waliokwisha jifunika shuka moja na kuhemeana kaaa mbali haswa............ atakapozaliwa wa pili ndio utajua hujui

Shuka hilo kwio,kwan ye ndo wa kwanza bibi wee,mtu unalalwa unadhalilishwa bado upo tu mxieew njaa mbaya
 
Back
Top Bottom