Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila huyu chuchunge ni Sikio la kufa, kutwa kujidhalilisha kisa Diamond , huyu si aliambiwaga mchawi na familia Nzima? Kutwa kuwafuata fuata kitu gan wakat hawakutaki, hata domo mwenyew angekua anakutaka angekutambulisha as formal girlfriend sio mchepuko, li hamisa linakera Sijui aliyemrogaga nani, anaona maisha bila domo hayaendi.

Yani bila aibu linajiaibisha eti aliomba namba ya mama domo amtakie happy birthday, akamtumia message hakujibu, yan anataka tujue ye Ndo yuko karibu sana na Diamond .

Hakuna Mwanamke mwenye kihere here na mwanaume akaja kuolewa, mbona lulu kachumbiwa na anakaa na mchumba wake hanaga huu ushamba kama wako halafu wewe ni Mama sasa unatakiwa ukue, unavyomshobokea domo unadhan kuna mwanaume atakuja kukuoa, akili zako sio nzuri .

Toka nimemfahamu Lulu sijawahi kuona anajipendekeza kwa wanaume, and she has dated the most powerful n rich men kuliko hata huyo unayemgombania na hakutaki, msichana mzuri ila unajishusha thamani mxieew domo kama kwapa la bundi

IMG_7987.jpg
 
View attachment 1601908
Hana Aibu huyu Binti. Juzi Kati alikuwa anahojiwa hapo Wasafi TV kaanza kusema pooh nilishapata mimba 3 (tatu) diamond zote zikaharibika. Ya NNE ndio akazaliwa huyu Dylan ambae tulimfanyia DNA kuzibitisha Baba yake ni Dai. 100% ikawa proved. Sijui mimba moja iliharibika tuliposafiri kwenda Nchi gani sikumbuki. Why all these details!!??
 
Mkuu naomba ushirikiano wako tumuite mtoa mada mtoa kinyesi maana hiki ni kinyesi kimetolewa kumpaka binti wa watu nahisi huyu,anakaonea wivu kale katoto
Huyo warumi Ni fan wa Zari so lazima amchukie Hamisa as if yeye ndio kaibiwa bwana ( in wanawake voice). Diamond amcheat Zari kwa Hamisa lakini anayeumia awe warumi hii inanichekesha Sana.Hiv mtoto mzuri Kama Hamisa mobetto utasemaje ameiba bwana? au EvilSpirit kweli unaweza ukaibiwa na Hamisa mobetto?
 
Hana Aibu huyu Binti. Juzi Kati alikuwa anahojiwa hapo Wasafi TV kaanza kusema pooh nilishapata mimba 3 (tatu) diamond zote zikaharibika. Ya NNE ndio akazaliwa huyu Dylan ambae tulimfanyia DNA kuzibitisha Baba yake ni Dai. 100% ikawa proved. Sijui mimba moja iliharibika tuliposafiri kwenda Nchi gani sikumbuki. Why all these details!!??

Anataka ku prove watu kuwa yuko karibu sana na Diamond na wametoka mbali , bitche she is dying of fame, Yan sijui akili zake ziko wapi maskin
 
Huyo warumi Ni fan wa Zari so lazima amchukie Hamisa as if yeye ndio kaibiwa bwana ( in wanawake voice). Diamond amcheat Zari kwa Hamisa lakini anayeumia awe warumi hii inanichekesha Sana.Hiv mtoto mzuri Kama Hamisa mobetto utasemaje ameiba bwana? au EvilSpirit kweli unaweza ukaibiwa na Hamisa mobetto?
Ni jambo la kushangaa sana,nimeona kuna sehemu anakuambia uache kuingilia yasiyokuhusu wakati huo huo yeye anaingilia yasiyomuhusu.Kuna sehemu nitamuomba ikimpendeza nimuite mpumbavu.Nahisi linamuonea wivu mwenzake kwa kuwa ni mzuri kuliko yeye
 
Acha kumfananisha Zari na huo uchafu usiojielewa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ukoo haulazimishwi

Watu wa ajabu sana , utalazimishaje undugu sasa, na mama diamond kashasema yeye ndo Boss, huyo chuchunge atachezewa had hyo ununue ikae kama Kaburi la pharao
 
Ni jambo la kushangaa sana,nimeona kuna sehemu anakuambia uache kuingilia yasiyokuhusu wakati huo huo yeye anaingilia yasiyomuhusu.Kuna sehemu nitamuomba ikimpendeza nimuite mpumbavu.Nahisi linamuonea wivu mwenzake kwa kuwa ni mzuri kuliko yeye

Thread yangu napost ninachokitaka mbwa wewe, halafu sijakuita shetwan wewe acha Shobo na mimi , usitafute Kiki kupitia warumi mbwa wewe kasoro mkuu
 
Back
Top Bottom